Shabiki wa Madrid, Yanga asomba mamilioni SHABIKI wa Real Madrid, Yanga Jacob Mkungilwa kutoka mkoani Njombe ameibuka kidedea baada ya kujishindia Sh112 milioni kupitia ubashiri wa kampuni Premier bet Navigator. Mkungilwa ameshinda...
Waoga mamilioni M-Bet, yaitakia kheri Simba Washindi hao ni Mesharam Bakunda na Abdallah Segatwa ambao walizawadiwa fedha zao jana Alhamisi, Februari 23, 2023 katika halfa fupi iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Straika Platinum aihofia Simba Licha ya timu yake kuwa na faida ya ushindi wa bao 1-0 ilioupata nyumbani, mshambuliaji wa FC Platinum, Silas Songani amesema kuwa wana kazi kubwa ya kufanya ili kuitupa nje Simba kwenye Ligi ya...
Ushindi dabo dabo na Parimatch Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch mara baada ya kumaliza kufanya uzinduzi mkubwa wa kuidhamini Klabu ya Mbeya City inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara katika siku chache zilizopita...
Kagere azua jambo Simba STRAIKA Meddie Kagere amekuwa mmoja wa mastraika wa kwanza wa Simba wanaotajwa kupigwa chini, lakini upepo umebadilika baada ya kuwagawa mabosi wa klabu hiyo katika makundi mawili, upande mmoja...
Uchaguzi Yanga wazidi kunoga MBIO za Uchaguzi Mkuu wa Yanga wa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi wa klabu hiyo kongwe nchini, umezidi kunoga kwa wagombea waliojitokeza kuchukua fomu watakaporudisha mchana huu. Uchaguzi wa...
Pablo: Hakuna pengo Simba Maisha ya Bernard Morrison yamefikia mwisho ndani ya kikosi cha Simba. Kocha wa Simba, Pablo Franco amewatoa hofu mashabiki kwamba hakutakuwa na pengo lolote kikosini. “Katika mechi na Pamba...
Gama Gaming kusimamia Afya za Kinamama MENEJA wa Tehama wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha (GBT), Kabora Mboya ameyataka makampuni ya kubahatisha nchini kuhakikisha wanawalinda wachezaji wa mchezo huo ili waweze kupata haki zao ili...
Mgunda aibukia kwa vijana Simba HUKO Simba hali sio shwari kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Juma Mgunda baada ya kuonekana akiwa na kikosi cha vijana. Mwanaspoti limemshuhudia Mgunda akiwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali...
Mkwasa asaka mrithi wa Edward Manyama KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Boniface Mkwasa amesema amekabidhi ripoti kwa uongozi wa timu hiyo na kuonyesha nafasi sita za usajili ikiwemo mrithi wa Edward Manyama aliyekuwa beki wao wa kushoto...