PRIME Simba yafuata fundi Uganda KIKOSI cha Simba kipo mjini Bukoba, mkoani Kagera kumalizana na wenyeji wao, Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini unaambiwa mabosi wa klabu hiyo wanapiga hesabu kali ya kuimarisha...
Straika Azam anukia Kagera Sugar Kagera Sugar ipo katika hatua za mwisho kumchukua mshambuliaji wa Azam FC, Adam Adam kwa mkopo.
PRIME Yanga pamechangamka huko... Pacome, Yao kama utani YANGA jana ilikuwa uwanjani kumalizana na Mashujaa ya Kigoma katika Ligi Kuu Bara, lakini kuna jambo moja limefanyika kimya kimya ambalo kama taarifa hii itawafikia mashabiki wa klabu hiyo...
Medo awasilisha mashine nne KAGERA Sugar imeanza msako mapema katika harakati za kukiboresha kikosi chao ikisaka wachezaji wa nne waliotokana na ripoti ya kocha wao Melis Medo.
Mashine sita zinatua Tabora United KATIKA kuimarisha zaidi kikosi chake, kocha mkuu wa Tabora United, Anicet Kiazmak ameagiza mashine sita kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo ili kuongeza nguvu katika mzunguko wa pili wa Ligi...
Pamba yambeba Kamara,wengine wanne MABOSI wa Pamba Jiji hawatanii, kwani baada ya kumtambulisha wachezaji wapya watatu, Deus Kaseke, Habib Kyombo na Hamad Majimengi, sasa wanajiandaa kuwaweka hadharani nyota watano wa kigeni...
Kocha Azam amzuia Feisal AZAM FC jana jioni ilikuwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kumenyana na Tabora United katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku nyuma kocha wa kikosi hicho, Rachid Taoussi ametoa msimamo wake kwa...
PRIME Fadlu ashtuka, aweka msimamo HUKO mtaani kwa sasa mashabiki wa Simba wanatambia mziki wa kikosi walichonacho, lakini kwa kocha Fadlu Davids hali ni tofauti kwani, ameshtukia jambo analoamini likifanyiwa kazi linaweza...
PRIME UCHAMBUZI: Kwanini usajili wa Mwenda Yanga? KWA nini Yanga imemsajili Israel Patrick Mwenda? Wameona nini kwake? Usajili wake una maanisha nini na je ataweza kupindua meza baada ya kushindwa mbele ya Shomari Kapombe wakati alipokuwa Simba?
Manula afichua siri nzito Simba akimtaja Camara NI suala la kawaida kwa binadamu yeyote aliye hai maisha yake kuwa na hali ya kupanda na kushuka, inaweza kukutokea kazini, masomoni, kwenye uhusiano au sehemu nyinginezo.