MASTORI YA OSCAR: Miquissone ametuonyesha uhalisia wetu WACHEZAJI wa kigeni nchini huwa hawaachwi moja kwa moja. Usishangae siku Saido Ntibazonkiza akirudi tena Yanga. Usishangae Bernard Morrison akirudi tena Simba siku moja. Mzunguko mdogo wa...
Mzee Kikala wa Kombolela, Mkojani, JB watakata tuzo za filamu 2022 Steven'JB' alitangazwa kuwa mshindi katika kipengele cha chaguo la watazamaji kipengele kilichukuwa kinashindaniwa na wasanii 19. Pia katika usiku huo wa tuzo,filamu ya Vuta...
Sebusebu , kipa wa Geita Gold aliyeanza kama kiungo Baadhi ya nyota waliotajwa kutoweka kambini walikuwa ni Saido Ntibazonkiza, George Mpole, Ramadhan Chombo ‘Redondo’, Oscar Masai, Hussein Bakari na Sebusebu Samson, taarifa ambazo ziliifikia...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Turekebishe kanuni wachezaji wa kigeni? Kabla ya kuanza kwa ligi ya msimu huu shirikisho la soka hapa nchini TFF lilipitisha na kuongeza idadi ya wachezaji wa kigeni kusajiliwa na timu mbalimbali kutoka wachezaji 10 hadi 12 na timu...
Feisal kuvaa jezi ya Azam? labda nipo ndotoni KILA napomtazama Feisal Salum ‘Fei Toto’ uwanjani huwa nafurahi sana. Fei anafurahia kucheza mpira. Huwa hachezi mpira kwa hasira na hana papara. Hateseki mpira unapokuwa miguuni kwake na hauogopi.
MASTORI YA OSCAR: Tunataka Mbappe, Neymar wakacheze Manungu? Nimewahi kumsikia Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mohammed Mchengerwa akizungumzia nia ya serikali kuona Tanzania inafuzu fainali za Kombe la Dunia 2030. Ni nia njema kabisa. Ni...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Nini kimekuvutia zaidi Qatar? KWA sasa macho na masikio ya wengi yapo Qatar ambako Kombe la Dunia linaendelea katika viwanja mbalimbali na lile la awamu hii ni la 22 kufanyika tangu lilipofanyika mara ya kwanza 1930 nchini...
Ishu ya Saido kutua Simba iko hivi... Athuman ‘Sheva’, Kelvin Yondan, Ramadhan Chombo, Samson Sebusebu, Oscar Maasai, Hussein Bakari na George Mpole ambao kwenye siku za hivikaribuni kila mmoja amekuwa na ishu binafsi na uongozi.
DONDOO: Prisons 0-1 Kagera Sugar wachezaji Oscar Paul na Samson Mbangula katika dakika ya 17 na 66. Kipigo cha bao 1-0 walichopata Tanzania Prisons dhidi ya Kagera Sugar leo kinafikisha mechi nane kati ya michezo 15...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Pogba na mzimu wa Ronaldo halisi NI jina linalochukiwa zaidi na Wareno na mashabiki wa Manchester United. Hawataki kabisa kusikia Ronaldo de Lima akiitwa ‘The Real Ronaldo’. Kwao ni kijembe kwa shujaa wao Cristiano Ronaldo.