Samatta mambo magumu Ugiriki NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Samatta mambo yanaonekana kuwa magumu kwa upande wake akiwa na PAOK ya Ugiriki amekuwa akikosa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu yake hiyo.
37 wateuliwa kamati za kudumu Coastal Union MWENYEKITI wa Klabu ya Coastal Union, Muhsin Ramadhan Hassan, ameteua Kamati ya Kudumu klabuni hapo ikiwa zimepita takribani siku 40 tangu uongozi mpya uingie madarakani.
Hii ndio Yanga Princess sasa! KAMA kuna kitu kinasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga kwenye soka la wanawake ni timu hiyo kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ambayo imekuwa ikiuota kila siku.
Lwasa anataka 10 tu ya kuanzia KIUNGO mshambuliaji wa Kagera Sugar, Peter Lwasa amesema anatamani mzunguko wa pili wa Ligi Kuu afunge mabao matano na kufikisha 10 msimu huu.
Corazone ndiye Chama wa Simba Queens NI nadra kuona mchezaji akiwa na mwendelezo wa kiwango msimu hadi msimu. Ni wachache sana na kwa kuangalia viwango vyao, kila msimu wanatabiriwa kufanya makubwa na inakuwa hivyo.
Yanga Princess yakomaa na wazawa YANGA Princess wiki iliyopita imetambulisha vyuma vitatu vya kimataifa lakini usajili ulioshtua zaidi ni ule wa nyota wazawa.
Masaka aanza mazoezi baada ya kuwa nje kwa majeraha MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Aisha Masaka anayekipiga katika timu ya Brighton & Hove Albion ya Ligi Kuu ya Wanawake ya England, ameanza rasmi mazoezi ya uwanjani baada ya kuwa nje...
Mtanzania aitaka rekodi Misri BAADA ya kusaini mkataba wa miezi sita wenye kipengele cha kuongeza, mshambuliaji wa Kitanzania, Oscar Evalisto amesema anatamani kuandika historia ya kufunga mabao akiwa na Makadi FC ya Misri.
Watanzania wakiri ugumu wa Ligi Uturuki WATANZANIA wawili wanaokipiga katika Ligi ya Walemavu nchini Uturuki wamesema msimu huu umekuwa mgumu kwenye timu zao.
Jaruph autamani msimu ujao Morocco MSHAMBULIAJI wa Ain Diab ya Morocco, Jaruph Juma amesema msimu uliopita haukuwa bora kwa upande wake akitaja uchovu na kutofanya mazoezi vilimkwamisha kuanza vizuri.