Jadon Sancho kuna tatu mezani WAKATI hatma yake ikiwa haijulikani hadi sasa, ripoti zinaeleza kuwa timu tatu za Ligi Kuu England zinainyemelea huduma ya winga Jadon Sancho wa Manchester United.
Luka Modric, Milan wamalizana KIUNGO wa Real Madrid, Luka Modric anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya na AC Milan mwezi ujao baada ya Kombe la Dunia la Klabu kumalizika.
No Yamal, no Salah, no Mayele... Kombe la Dunia litaleta bingwa wa kweli? IKIWA zimebakia siku mbili kabla ya mashindano ya Kombe la dunia la klabu kuanza huko Marekani, mjadala mkubwa umeibuka juu ya timu zilizofuzu na zile zilizoshindwa kufuzu michuano hiyo.
PRIME Maswali tata zawadi za Yanga Kombe la FA UKIPITA mitaani kuanzia vijiwe vya kahawa, maskani za bodaboda, na hata katika daladala hadi mitandaoni, mjadala mkubwa ni mvutano uliopo baina ya Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na Klabu ya...
Darwin Nunez anukia kutua Saudia, Al Hilal yatajwa MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Darwin Nunez huenda akaondoka Liverpool dirisha lijalo la majira ya kiangazi baada ya Al-Hilal ya Saudi Arabia kuanza mawasiliano na wawakilishi wake ya kumsajili.
Gyokeres bado mtihani, vigogo wajaa vitani LICHA ya ripoti kwamba uhusiano baina ya straika Viktor Gyokeres na uongozi wa klabu yake ya Sporting Lisbon kutokuwa mzuri hivi karibuni, bado vigogo mbalimbali wakiwamo Arsenal na Manchester...
Liverpool yaendelea kushusha vyuma LIVERPOOL iko mbioni kumsajili nyota wa Paris Saint-Germain, Bradley Barcola ikiwa ni mwendelezo wa kutumia bajeti ya zaidi ya Pauni 300 milioni katika dirisha hili.
MKWANJA: Masupastaa 10 wenye thamani kubwa zaidi sokoni kwa sasa MASUPASTAA wa soka wenye thamani kubwa zaidi duniani wamewekwa hadharani, huku Ligi Kuu England ikiingiza mastaa wawili tu kwenye orodha hiyo.
Mbeumo achaguliwa timu Man United, Spurs STAA Bryan Mbeumo ametakiwa achague kwenda Tottenham Hotspur badala ya Manchester United baada ya vita ya miamba hiyo kuwania saini yake kuzidi kupamba moto.
De Bruyne, Napoli kitu kimeeleweka KIUNGO Kevin De Bruyne anajiandaa kujiunga na Napoli kwa dili la mkataba wa miaka miwili baada ya kufikia makubaliano na mabingwa hao wa Italia.