Pamba, Fountain zamgombea Sebo PAMBA Jiji na Fountain Gate zimepelekana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kile kinachodaiwa miamba hiyo yote miwili kudai beki wa kati wa kikosi cha Azam FC, Abdallah Kheri ‘Sebo’...
Masoud apania rekodi Chama la Wana KOCHA mpya wa Stand United ‘Chama la Wana’, Juma Masoud amesema licha ya kukabidhiwa timu hiyo wakati huu wa michezo ya mwisho wa msimu hana presha, huku malengo yake makubwa ni kuweka rekodi ya...
Kissu aanika mikakati mipya Polisi Tanzania BAADA ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na maafande wa Polisi Tanzania, aliyekuwa kipa wa Biashara United, David Kissu Mapigano amesema moja ya mikakati yake ni kuhakikisha anakipambania...
Kumekucha Afcon 2025, Stars yawekwa chungu hiki TIMU ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', itajua wapinzani wake itakaokutana nao wakati droo ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), itakapofanyika kesho kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa...
Ramovic amchomoa Ikanga Speed WAKATI mashabiki wa Yanga wakiwa na hamu kubwa ya kumuona nyota mpya wa kikosi hicho, Jonathan Ikangalombo 'Ikanga Speed' katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la (FA), dhidi ya Copco FC, mambo...
Mkongomani azitaka tatu za Simba WAKATI Tabora United ikijifua kwa mchezo wa kiporo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba, kocha Anicet Kiazayidi amesema hana presha huku akisifu kiwango cha wapinzani wao.
Mserbia KenGold bado tatu za nguvu KOCHA wa KenGold, Mserbia Vladislav Heric, amesema anahitaji zaidi ya michezo mitatu ya nguvu ya kirafiki ili kujiweka fiti na mzunguko wa pili, huku akiomba viongozi kufanyia kazi suala hilo...
Mambo haya yanasubiriwa Ligi Kuu Bara LIGI Kuu Bara inarejea tena baada ya kusimama kwa takribani mwezi mmoja kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyokuwa inafanyika visiwani Zanzibar, ambapo kwa sasa inasubiriwa kuona ni kitu...
PRIME Fadlu ana wiki tatu za mkakati KIKOSI cha Simba kinajiandaa na mchezo wa hatua ya 64-Bora ya Kombe la Shirikisho la ndani dhidi ya Wonders ya Kilimanjaro utakaopigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa KMC Complex, huku kocha wa...
Messi wa Tanga aja kivingine Namungo NYOTA mpya wa Namungo, Issa Abushehe ‘Messi’, amesema kitendo cha kujiunga na kikosi hicho anaamini itakuwa njia nzuri kwake ya kumrejesha katika ubora wake, huku akiweka wazi sababu kubwa za...