Tanzania, Mali kriketi bato la historia TANZANIA inaikaribisha Mali katika mchezo wa kihistoria wa ufunguzi wa michuano ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia za kriketi ya mizunguko 20 keshokutwa, Dar es Salaam.
Madina, Wanyeche, OLomi kuwania ubingwa Afrika Madina Iddi wa Arusha ndiye kinara wa orodha ya wachezaji nyota waliochaguliwa kuunda timu ya taifa ya wanawake ya gofu itakayoshiriki mashindano ya ubingwa wa Afrika nchini Morocco mwisho wa mwaka.
Mr Nice: Muziki? Mi nachora balaa WENGI wa kizazi cha miaka ya 2000 wameishia kusikia tu jina Mr Nice lakini hawajui maisha yake ya muziki na nje ya kazi hiyo. Ni alama isiyofutika kwenye muziki Bongo Fleva kutokana na mchango...
Ushindi dhidi ya Coastal wampa jeuri Zahera USHINDI wa kwanza ilioupata Namungo mbele ya Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Bara, umemfanya kocha wa timu hiyo kutamba ameanza kupata mwanga baada ya awali kupoteza michezo mitatu...
Mashujaa ni mapigo na mwendo tu Ligi Kuu Bara MASHUJAA wana kauli mbiu yao ya ‘Mapigo na Mwendo’ na hadi sasa Ligi Kuu Bara ikiwa raundi ya nne kikosi hicho kipo nafasi ya pili katika msimamo na mmoja wa makipa wa timu hiyo, Erick Johora...
Gadiel aanza kazi Chippa United, Majogoro kicheko KIUNGO mkabaji wa Chippa United, Baraka Majogoro amefurahishwa kucheza na Mtanzania mwenzake beki Gadiel Michael aliyejiunga na timu hiyo, akiamini kuna kitu kikubwa kitaongezeka.
Marefa hawa kuamua mechi za Yanga, Simba kimataifa Marefa kutoka Guinea na Mauritania ndio wamepangwa kuchezesha mechi za nyumbani za wawakilishi wa Tanzania Simba na Yanga katika mechi zao za marudiano za raundi ya pili ya mashindano ya...
Salum Chuku kuikosa Fountain Gate WAKATI kikosi cha Tabora United kikianza maandalizi ya kuiwinda Fountain Gate, inatarajia kuikosa huduma ya nyota wake, Salum Chuku.
Kipa CBE bado anamuwaza Dube MASHABIKI wa Yanga bado wanasubiri kuona mabadiliko ya washambuliaji wao kuelekea mechi ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika lakini kipa wa wapinzani wao hao bado anawawaza washambuliaji...
Kocha Kagera Sugar afichua kinachowafelisha KITENDO cha Kagera Sugar kushindwa kupata hata bao moja katika dakika 360 ambazo ni sawa na mechi nne za Ligi Kuu Bara, kimemfanya kocha wa timu hiyo, Paul Nkata kutaja mambo manne yaliyopo nyuma...