AKILI ZA KIJIWENI: Afrika Mashariki tuitendee haki Chan RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Patrice Motsepe hivi karibuni alitangaza habari njema ambayo nchi za Tanzania, Kenya na Uganda hapana zingeifurahia.
Kiluvya yamchorea ramani Mingange KOCHA Mkuu wa Stand United, ‘Chama la Wana’, Meja Mstaafu Abdul Mingange amesema mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Kiluvya United utampa ramani ya kikosi chake na uelekeo katika Ligi ya...
NIONAVYO: Manchester City katikati ya mtego mgumu England MABINGWA wa Ligi Kuu England (EPL), Manchester City, juma hili wako katika mtihani mgumu pengine kuliko yote waliyowahi kupitia katika historia ya klabu hiyo.
Tanzania yazidi kupanda viwango vya Fifa Kuvuna pointi nne kwa timu ya taifa ya Tqnzania ‘Taifa Stars’ katika mechi mbili za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika (Afcon) dhidi ya Ethiopia na Guinea hapana shaka kumechangia kusogea...
Benja FC wababe wa Tulia Trust Uyole Cup 2024 TIMU ya soka ya Benja FC imetwaa ubingwa wa michuano ya Tulia Trust Uyole Cup 2024 iliyofikia tamati leo kwenye Uwanja wa Mwawinji, uliopo Uyole Mbeya Mjini.
PRIME Simba na refa wa ‘majaribio’ Yanga, Juma Pondamali alisema kuwa timu hizo za Tanzania hazipaswi kuingiwa wasiwasi na marefa watakaozihukumu wikiendi hii. “Refa anachezesha kwa kufuata sheria 17 za mpira wa miguu, hivyo...
PRIME Mtasingwa ataja sababu ya kuitosa Yanga Kiungo wa Azam FC, Adolf Mtasingwa Bitegeko amezungumza na Mwanaspoti na ametaja sababu zilizomfanya kuikataa Yanga ambayo ilitajwa kuwa imeshaafikiana naye kwa ajili ya kujiunga nayo katika...
Salim: Dakika 180 za heshima Stars POINTI nne ilizopata timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars katika mechi mbili za Kundi H la kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Afcon 2025, zimeiweka timu hiyo katika nafasi nzuri kundini...
PRIME Simba wamleta Micho mechi na Waarabu lazima waongeze nguvu ili mambo yasiharibike wakija ugenini. Katika kuangalia nani ni mtu sahihi wa kuwasaidia, moja kwa moja wakatua kwa Micho wakiamini ana mambo manne yatakayowasaidia kutoboa...
Tanzania, Mali kriketi bato la historia TANZANIA inaikaribisha Mali katika mchezo wa kihistoria wa ufunguzi wa michuano ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia za kriketi ya mizunguko 20 keshokutwa, Dar es Salaam.