PRIME Simba, Yanga bado dakika 270 Kibarua walichonacho wakongwe hao kila mmoja ni katika kuwania pointi tisa zinazopatikana katika mechi tatu zijazo za Ligi Kuu Bara kabla ya kufika Oktoba 19 mwaka huu ambapo watakutana wenyewe...
PRIME HISIA ZANGU: Mnyama alianza kama swala akamalizia kama Simba NA walimaliza kazi huku kila mtu akibaki na mdomo wazi. Kama ilivyo kawaida yao. Simba. Uwanja wa Mkapa ni wao. Ni katika mechi za kimataifa. Zipo jioni chache ambazo waliwahi kukosea, lakini hii...
Micho: Simba hii inacheza na yeyote KOCHA wa zamani wa Yanga, Milutin ‘Micho’ Sredojevic, ameipongeza Simba kwa kiwango kizuri ilichokionyesha katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli huku...
Makocha, Waamuzi judo wanolewa kimataifa MAKOCHA na Waamuzi30 wa mchezo wa judo wameanza mafunzo ya kimataifa ya mchezo huo ya level one.
Sheva tumaini jipya Mbuni FC KOCHA Mkuu wa Mbuni, Leonard Budeba amesema, licha ya kikosi hicho kufanya usajili bora kwa msimu huu ila moja ya nyota anayempa matumaini makubwa ya kufanya vizuri ni mshambuliaji, Miraji...
FUENTES: Aziz KI sio wa mchezo mchezo ACHANA na mabao mawili aliyofunga huku akiuchunua kushangilia kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar wakati Yanga ikiing'oa kwa aibu CBE SA ya Ethiopia kwa jumla ya mabao 7-0, kuna...
Shiza Kichuya awataja Chasambi, Balua WINGA wa JKT Tanzania, Shiza Kichuya amesema zama alizokuwa nazo za ubora kwa sasa zimeisha na anawaona Ladack Chasambi na Edwin Balua wanaokipiga Simba kuwa ndio wachezaji wazuri wanaoweza...
Kelvin John bado kidogo Stars NYOTA wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga klabu ya Aalborg BK ya Denmark, Kelvin John amekingiwa kifua na wadau mbalimbali, huku wakihoji ni kwa nini haitwi timu ya taifa 'Taifa...
Adebayor mambo freshi Singida Black Stars KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amesema kwa sasa nyota mpya wa kikosi hicho, Victorien Adebayor yupo tayari kuanza kuitumikia timu hiyo baada ya awali kumpa programu zake...
Mnoga mdogo mdogo Uingereza BEKI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Salford City inayoshiriki Ligi Daraja la Pili England, Haji Mnoga anakiwasha kwenye klabu yake hiyo mpya na hadi sasa aimeichezea mechi nne.