Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9684 results for Mwandishi :

  1. Maresca amwaminia fundi Cole Palmer

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca anaamini staa wa kikosi chake Cole Palmer atajipambanua miongoni mwa mastaa wakubwa kabisa kwenye soka la dunia wakati wa fainali za Kombe la Dunia la Klabu...

    MARESCA Pict
  2. Spurs kumchukua Frank wa Brentford

    KOCHA Thomas Frank ameripotiwa kukubali kwenda kuwa kocha mpya wa Tottenham Hotspur.

    SPURS Pict
  3. Ten Hag amtaka Grealish pale kwa Wirtz

    STAA ghali Manchester City, Jack Grealish ameripotiwa kuwekwa kwenye orodha ya wachezaji ambao wanaweza kunaswa ili wakachukue mikoba ya Florian Wirtz huko Bayer Leverkusen.

    TEN Pict
  4. Panga kubwa lapita Arsenal

    ARSENAL imetoa orodha ya wachezaji wanaobaki na wanaoondoka ambayo inaonyesha kuna panga kubwa limewapitia mastaa 17.

    PANGA Pict
  5. Ronaldo rekodi zamiminika tu, sikia hii

    JANA Cristiano Ronaldo aliiongoza Ureno kushinda mechi ya nusu fainali ya Nations League dhidi ya Ujerumani na kumwezesha kuweka rekodi mbalimbali.

    RONALDO Pict
  6. Bosi asema hii ya Wirtz ni aibu

    BOSI kubwa wa Borussia Dortmund, Hans-Joachim Watzke amekosoa uhamisho wa kiungo Florian Wirtz kuondoka Bayer Leverkusen kwenda kujiunga na Liverpool kuwa ni aibu kubwa Bundesliga kwa kupoteza...

    BOSI Pict
  7. He! Yamal amponza mrembo Hispania

    MREMBO mwenye ushawishi mkubwa mitandaoni, Fati Vazquez amefichua kutumiwa meseji za vitisho baada ya kuibuka uvumi kuwa kwenye uhusiano na kinda wa Barcelona, Lamine Yamal kufuatia picha...

    YAMAL Pict
  8. Trent atoa siri ya Kihispania chake

    BEKI kisiki wa Real Madrid, Trent Alexander-Arnold amefichua alikuwa akijifunza Kihispania kwa ‘miezi kadhaa’ kabla hajajiunga na timu hiyo dirisha hili.

    TRENT Pict
  9. Mwanetu Joao Felix amepoa hapa!

    STAA wa Chelsea, Joao Felix hatimaye ameanza kutupia nyavuni baada ya kufanikiwa kumnasa mrembo matata kabisa wa Colombia, Valentina Rueda Velez.

    FELIX Pict
  10. Arsenal yapasua kichwa kwa Sesko

    ARSENAL inazidi kukatishwa tamaa na straika wa RB Leipzig, Benjamin Sesko juu ya madai yake ya mshahara anaohitaji ili kujiunga nao.

    SESKO Pict
Previous

Page 196 of 969

Next