Nani awatetee wachezaji wa Tanzania! Kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania, Rodrigo Hernández Cascante maarufu zaidi kama Rodri, amegonga vichwa vya habari baada ya kauli yake ya kishujaa kwa mamlaka za mpira duniani.
MATAMPI: Huyu Camara amekuja kuongeza vita Msimu wa 2023/24, aliwaacha mbali Djigui Diarra ‘Yanga’ na Mohamed Mustapha ‘Azam FC’ akitwaa tuzo ya kipa bora si mwingine ni Ley Matampi ambaye amesisitiza kuwa na msimu huu pia anaitaka.
Zahera aanza kunogewa Namungo BAADA ya Namungo kupata ushindi wa bao 1-0 juzi dhidi ya Tanzania Prisons, kocha mkuu wa timu hiyo Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema, ameridhika na viwango vya wachezaji walivyovionyesha...
Kriketi T20... Dar yaibeba Malawi kufuzu kombe la dunia MALAWI ndio pekee iliyotoa upinzani mkali kwa Tanzania katika mbio za kufuzu fainali za Kombe la Dunia kwa kriketi ya mizunguko 20 ambapo Tanzania ilishinda kwa mikimbio 19 tu katika...
Neema, Vicky wafichua kinachowabeba Mchezaji wa timu ya taifa ya gofu wanawake, Neema Olomi ameiita michuano ya Lina PG Tour ni 'tanua mbavu' kwa wacheza gofu wanawake kwani inawalazimisha kutumia ujuzi na maarifa zaidi ili kufanya...
Said Jr amfuata Msuva Iraq KIUNGO Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Said Khamis 'Said Jr' amepata shavu la kusajiliwa Peshmarga Sulaymaniya SC inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Iraq akiungana na Simon...
'Chama la Wana' muhimu pointi tatu KOCHA mkuu wa Stand United 'Chama la 'Wana', Meja Mstaafu Abdul Mingange amesema, licha ya timu hiyo kupata ushindi mwembemba wa bao mojamoja katika michezo miwili iliyocheza hadi sasa, hawana...
TAOUSSI: Fei Toto anastahili kucheza kule! WAKATI kukiwa na mjadala kuhusu hatima ya kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto', kutokana kiwango alichonacho na timu anayoichezea kwa sasa, kumbe hata kocha wa timu hiyo...
Hadhara anahitaji msaada, amlilia Samia MKALI wa kucheza danadana, Hadhara Charles, hali yake si nzuri kama alivyozungumza na Mwanaspoti katika mahojiano gazeti la juzi Jumamosi, huku mwenyewe akikiri wakati mwingine umaarufu alionao...
Vipigo mfululizo Kagera vyashtua kigogo, mastaa HALI ya Kagera Sugar sio nzuri, kwani juzi imepoteza mechi ya nne kati ya sita ilizocheza katika Ligi Kuu Bara ya msimu huu na jambo hilo limewashtua baadhi ya wachezaji na mtendaji mkuu wa klabu...