EXCLUSIVE: Maskini Alphonce Modest, ukimuona alivyo utatokwa chozi
HUJAFA hujaumbika. Ndivyo unavyoweza kusema kwa hali alivyonayo beki wa zamani wa kushoto wa kimataifa wa Tanzania aliyewahi kutamba na timu za Pamba, Simba, Yanga, Mtibwa Sugar na Taifa Stars.