Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1654 results for Daudi Elibahati :

  1. Chama la Wana yashtuka, yasuka pacha ya mabao

    KOCHA wa Stand United 'Chama la Wana', Juma Masoud amesema kwa sasa anatengeneza safu kali ya ushambuliaji katika timu hiyo itakayozungukwa na nyota, Msenda Amri Msenda na Omary Issa 'Berbatov'...

    Stand Pict
  2. PRIME Mastaa hawa wape mpira tu!

    WAKATI Yanga na Simba zikiendelea kupigana vikumbo nafasi mbili za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, kuna siri imejificha kwa nyota wa timu hizo, Stephane Aziz KI na Leonel Ateba.

  3. KenGold yaweka rekodi nyingine Bara

    ACHANA na rekodi ya kuburuza mkia katika Ligi Kuu Bara tangu ilipoanza, sare ya bao 1-1 iliyoipata KenGold dhidi ya Tabora United juzi imeifanya kuandika rekodi ya kupata pointi kwa mara ya...

  4. Mshike mshike wa Championship kuendelea wikiendi hii

    KIPUTE cha Ligi ya Championship kinaingia raundi ya 19 wikiendi hii na baada ya jana kupigwa michezo miwili katika viwanja mbalimbali, leo tena mingine mitatu itapigwa kwa ajili ya kuzipambania...

    Championship Pict
  5. Sowah avunja rekodi ya JKT Tanzania

    BAO la dakika ya 51 la mshambuliaji wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah limetosha kuvunja rekodi ya JKT Tanzania ya kutokufungwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo msimu huu, baada ya...

  6. PRIME Zidane Sereri... Straika anayetembelea nyota ya Samatta Azam FC

    MOJA ya vipaji vya soka inavyojivunia Tanzania ni cha kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Zidane Sereri kilichomfanya ajiunge na matajiri hao wa Jiji la Dar es Salaam dirisha dogo la Januari mwaka...

    Zidane Pict
  7. Bao la Bwenzi kwa Diarra lilivyofunika mabao ya mastaa hawa

    BAO la kufutia machozi la KenGold lililowekwa kimiani na kiungo, Seleman Rashid ‘Bwenzi’ limekuwa gumzo kwa mashabiki, lakini likiingia kwenye orodha ya mabao makali na bora ya Mwanaspoti...

  8. Timu ya Dodoma Jiji yapata ajali Nangurukuru

    KIKOSI cha Dodoma Jiji kimepata ajali ya basi kikitokea Ruangwa mkoani Lindi kuja jijini Dar es Salaam, baada ya jana tu kumaliza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji wao Namungo FC...

  9. PRIME Dili la Mzize layeyuka Libya

    LILE dili la bilioni 3 limeota mbawa. Ndicho unachoweza kusema baada ya miamba ya soka ya Libya Al Ettihad kuachana na mpango wa kumsajili straika wa Yanga, Clement Mzize na badala yake kunasa...

    Mzize Pict
  10. Kaseke aiua Azam FC jiooni Kirumba

    BAO la dakika ya 88 lililofungwa na nyota wa zamani wa Yanga, Deus Kaseke limetosha kuipatia ushindi Pamba Jiji wa 1-0, dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, katika mchezo wa Ligi...

    Kaseke Pict
Previous

Page 20 of 166

Next