Mgunda ataja mambo manne Namungo KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ametaja mambo yatakayombeba kwenye mechi 14 za duru la pili zilizobaki ili kuihakikishia timu hiyo kucheza Ligi Kuu msimu ujao.
Tabora United yaivutia kasi Simba Ligi Kuu TABORA United inapiga hesabu ndefu juu ya namna gani itaikaribisha Simba nyumbani na papo hapo kocha wa timu hiyo ameshtukia kitu na fasta akaomba mechi mbili za kujipima nguvu haraka.
Mziki wa Februari Ligi Kuu wamtikisa Maxime SIKU chache baada ya maboresho ya ratiba, kocha mkuu wa Dodoma Jiji, Mecky Mexime amekiri mwezi ujao wakati Ligi Kuu Bara itakaporejea ni dume kwelikweli kutokana na bandika bandua ya mechi huku...
SEMFUKO: Maxi Nzengeli ni mtu nyie! “Nafikiri wachezaji wengi bora wanazungumzwa kutoka Simba na Yanga kutokana na kuwa na mashabiki wengi ambao wamekuwa wakiwaimba mara kwa mara, hasa wanapopata nafasi ya kufanya makubwa ndani ya...
Taoussi apata akili mpya Azam FC KICHAPO cha bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa kirafiki kimemuibua kocha mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi aliyesema kilikuwa kipimo sahihi na kimempa mwanga wa nini afanye kabla ya...
PRIME Kimeumana! Yanga yafukua mafaili ya Nabi YANGA imeangalia mwenendo wa kikosi chake na kugundua kwamba kuna mambo madogo ambayo yakifanyiwa kazi, basi itatisha zaidi msimu huu kwani kuna mwanga wameanza kuuona.
PRIME Simba kupita njia hii CAF SIMBA SC imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kibabe baada ya kuifunga CS Constantine ya Algeria mabao 2-0, na kuongoza kundi A kwa kufikisha pointi 13 ikiwaacha Waarabu...
Dabi ya Kariakoo kupigwa Machi 8 Kwa Mkapa Yanga na Simba zitaumana Machi 8, 2025 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.
Maniche awatoa hofu Mtibwa Sugar KOCHA wa Mtibwa Sugar, Awadh Juma 'Maniche' amesema licha ya timu hiyo kutosajili mchezaji yeyote dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 15, mashabiki wasiwe na hofu kwa sababu wachezaji...
JKT waitana kambini, kocha akilia na mastraika KIKOSI cha JKT Tanzania kesho Jumamosi kinaanza rasmi kambi ya mazoezi kwa ajili ya kujiweka tayari kumaliza duru la pili la Ligi Kuu Bara, huku kocha wa timu hiyo, Ahmed Ally akilia na safu ya...