Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

971 results for Oscar Oscar :

  1. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Ntibazonkiza kuanzia benchi msmu ujao

    BAADA ya kushinda tuzo nne za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) msimu uliopita, bila shaka yoyote Mshambuliaji Saido Ntibazonkiza ndiye mchezaji Bora wa Simba kwa 2022/2023. Ntibazonkiza ndiye...

  2. Yanga mpya inahitaji hiki

    YANGA ndio timu Bora Tanzania kwa sasa. Kama unapenda sawa. Kama hupendi, sawa pia. Hawakuchukua ubingwa wa ligi yetu kwa bahati mbaya. Hawakuchukuwa Kombe la FA kwa bahati mbaya. Ni ubora juu ya...

  3. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kwanini mechi hizi inazipeleka Tanga?

    Nasikia Tanga ukilipa Nauli, haiendi Bure. Kuna Soka na Mapenzi. Sawa. Nimekubali ndugu zangu lakini ndiyo kila Siku Matukio Makubwa yapelekwe Tanga? Tanga ndiyo Mkoa anakotoka Rais wa Shirikisho...

  4. PRIME Mambo ya kuangalia wakati wa usajili

    . Simba, Azam tayari zimeachana na wachezaji zaidi ya 10 wakiwemo wakongwe ndani ya vikosi hivyo kama vile, Erasto Nyoni, Beno Kakolanya, Victor Akpan Jonas Mkunde, Gadiel Michael (Simba)...

  5. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Jonas Mkude ametuachia mengi ya kujadili

    BAADA ya miaka 13 Jonas Mkude anaondoka Simba. Mambo hufika mwisho na Mkude ataonekana akiwa na jezi tofauti na ile Simba. Nani aliwahi kufikiria kwamba yule mtoto pendwa wa Msimbazi siku moja...

  6. CV nzima, mafanikio kocha mpya Yanga

    BAADA ya kuondoka kwa Nasreddine Nabi, Yanga imemtangaza Miguel Angel Gamondi kuchukua  mikoba yake. Kocha huyu mwenye uraia wa Argentina na Italia ana umri wa miaka 56 na anapenda kutumia mfumo wa...

  7. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kwani Fiston Mayele ni nani?

    NILIKUWA namtazama Fiston Mayele katika mechi ya DR Congo mjini Kinshasa dhidi ya Gabon Jumapili usiku. Mayele alifunga moja ya yale mabao yake bora ya kutisha ambayo huyafunga mara...

  8. PRIME Bomu lipo kwa Mayele, Diarra

    Kama kuna kazi ngumu kwenye mchezo wa Soka, basi ni kutengeneza timu. Tuko kwenye zama ambazo kumpata mtu kama Djigui Diarra sio mchezo. Tuko kwenye zama ambazo kumpata Mshambuliaji kama Fiston...

  9. PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Kombe la Yanga linaendaje Msimbazi?

    HIVI kwanini Yanga hawajaenda Chamazi inakotoka Azam FC au Turiani inakotoka Mtibwa Sugar na matokeo yake kila paredi za ubingwa lazima wapite Mtaa wa Msimbazi yalipo makao makuu ya Klabu ya...

  10. NYUMA YA PAZIA: Operesheni Saudia ilivyomsomba ghafla Ustaadhi Benzema

    “KILA mwanasoka au kila mtu ambaye anafanya kazi anataka kupata pesa kwa ajili ya kusaidia familia yake. Nimetoka katika familia maskini sana. Hatukuwa na chochote. Haya ni matunda ya kazi yangu na...

Previous

Page 19 of 98

Next