Fountain Gate Princess inataka mechi tano FOUNTAIN Gate Princess iliyopo nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi Kuu imesema kwa iliko sasa, inahitaji kushinda mechi tano tu ili kujihakikishia kuwa katika nafasi nne za juu.
Gomez aletewa mtu Wydad AC WYDAD AC inaripotiwa kutaka kumsajili mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Relebohile Mofokeng nafasi anayocheza pia Mtanzania Selemani Mwalimu 'Gomez' aliyetambulishwa mwezi...
Majogoro kutimkia Orlando Pirates KIUNGO wa Chippa United, Mtanzania Baraka Majogoro inaelezwa hayupo kwenye kikosi hicho kwa wiki ya tatu sasa, huku taarifa zikieleza yupo kwenye hatua za mwisho kujiunga na Orlando Pirates ya...
Kocha Ali aahidi furaha Mashujaa Queens KOCHA wa Mashujaa Queens, Ali Ali amesema amepambana kuhakikisha wachezaji wake wanakuwa sawa kisaikolojia baada ya vichapo viwili mfululizo kuwatoa mchezoni.
Sichone aelezea ujumbe kwenye jezi MSHAMBULIAJI Kinda wa Trident FC ya Zambia, Mourice Sichone amesema ujumbe aliouchapisha kwenye jezi yake unamlenga mama yake mzazi ambaye yuko hospitali akiuguza majeraha ya ajali aliyopata wiki...
PRIME Mambo matatu yanamkwamisha Chama Yanga KWENYE maisha ya soka ni kawaida kuona wachezaji wengi waliokuwa na viwango bora lakini baada ya kuhamia timu nyingine ubora wao ukapungua.
Mambo matatu yaliyoibeba Twiga Stars WAFCON TIMU ya Taifa ‘Twiga Stars’ imevuka raundi ya pili ya michuano ya fainali za Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) mwakani, nchini Morocco baada ya sare ya 1-1 dhidia ya Guinea ya Ikweta.
Twiga Stars ni jasho dakika 90 TIMU ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ kesho itashuka uwanjani ugenini dhidi ya Equatorial Guinea, katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026...
PRIME Joshua Mutale, Simba kama sinema MAISHA yanakwenda kwa kasi na mambo yanabadilika kila wakati leo hii stori ya kiungo mshambuliaji wa Simba, Joshua Mutale imezima ghafla.
Waziri Jr amtaja Simon Msuva dili la Iraq MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji aliyetambulishwa hivi karibuni na klabu ya Al Mina'a ya Iraq amesema Simon Msuva ana mchango mkubwa kutua katika timu hiyo.