PRIME Mastaa Ligi Kuu Bara watuhumiwa kubeti WAKATI kukiwa na mijadala kuhusu wachezaji wa ligi mbalimbali za soka nchini kuhusika katika michezo ya kubashiri (betting) na kupanga matokeo, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amefichua kuwa...
PRIME Gomez wa Fountain Gate atengewa mamilioni Wydad Casabalanca WAKATI ikiwa inaendelea kufukuzia saini ya nyota wawili wa Yanga, Clement Mzize na Stephane Aziz KI, klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imekamilisha dili la kumnasa mshambuliaji wa Fountain...
CHEDA: Fei na Maxi wana madini miguuni KILA mchezaji anatamani kucheza na Feisal Salum ‘Feitoto’. Ndiyo, uwezo wake mkubwa umewakalisha hadi wachezaji wa kigeni ambao wamekuwa wakiimbwa sana. kwa kifupi ukihoji wachezaji, wengi na...
Singida Black Stars yavunja kambi Arachuga KOCHA Msaidizi wa Singida Black Stars, David Ouma ametamba timu hiyo imekamilika kila idara na ipo tayari kwa ajili ya mzunguko wa pili huku akitamba licha ya ugeni wa benchi la ufundi...
Mwambusi ana deni Coastal Union KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema kazi imebaki kwake na wachezaji kuhakikisha kupambana ili kufikia malengo ya kucheza tena Ligi Kuu Bara msimu ujao baada ya uongozi kufanyia...
Chilunda aja na akili mpya ya kazi MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Shaaban Chilunda amesema baada ya kufanikiwa kusajiliwa na KMC kwa sasa ana akili mpya ya kufanya kazi ili kurudi katika ushindani baada ya kukaa nje ya uwanja...
Kocha Matano ashtukia jambo Bara KOCHA Mkuu wa Fountain Gate, Robert Matano amesema ana mtihani mkubwa wa kufanya kuikabili Simba kwenye mchezo wake wa kwanza akidai ni kipimo sahihi kwake.
Azam FC ubingwa inautaka Bara KOCHA wa Azam, Rachid Taoussi amesema licha ya kudondosha pointi nyingi duru la kwanza ana nafasi ya kuipambania timu hiyo kutwaa taji msimu huu, huku akidai wazi kuwa ana pointi sita kwa Simba...
Kocha Bares macho yote yapo hapa SIKU chache baada ya ratiba ya ligi kufanyiwa marekebisho, kocha wa Mashujaa, Abdallah Mohamed 'Bares' amesema tayari ameanza kukiweka sawa kikosi chake huku akizitaja timu tatu za Azam FC, Yanga...
PRIME Yanga yaficha wawili wapya KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ambao ni beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars na Jonathan Ikangalombo anayemudu...