Gomez apagawa, ajipanga Wydad AC NYOTA Mtanzania aliyetambulishwa na Wydad Casablanca ya Morocco, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ amesema amefarijika kutimiza ndoto ya kucheza soka la kulipwa na sasa anajipanga ili kufanya vizuri akiwa...
PRIME Chasambi akingiwa kifua MAKOCHA na wachezaji wa zamani wamemkingia kifua winga wa Simba, Ladaki Chasambi kwa kosa lililotokea juzi wakiliomba benchi la ufundi kuzungumza naye na kuendelea kumpa nafasi kucheza kwa sababu...
PRIME Job awatega mabosi Yanga KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiandaa na mchezo utakaopigwa keshokutwa dhidi ya JKT Tanzania huku, nahodha msaidizi, Dickson Job akiwatega mabosi wake kutokana na kuanza kuhesabu siku kabla ya...
Ushindi wampa jeuri Minziro BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ugenini, kocha mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ushindi na bonasi waliyoipata wachezaji ni chachu ya kuongeza ushindani...
Coastal Union, JKT TZ kazi ipo Arachuga UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa kupigwa mechi mbili za kukamilisha raundi ya 17, huku kazi kubwa ikiwa jijini Arusha na JKT Tanzania itakakuwa wageni wa Wagosi wa Kaya, Coastal...
Kipigo chamzindua Mgunda KIPIGO cha mabao 2-1 ilichopewa Namungo kutoka kwa Tabora United, kimemuamsha Kocha Juma Mgunda aliyesema ameona mwanga ambao akirekebisha kidogo tu mambo yatakuwa matamu kwa Wauaji hao wa Kusini.
Abal Kassim: Mudathir akili mingi, Maxime bab’kubwa UKITAJA nyota sita waliocheza timu zaidi ya tano Ligi Kuu Bara na hawadumu kwa muda mrefu ndani ya timu hizo huwezi kusita kutaja jina la kiungo Abal Kassim ambaye sasa anakipiga Pamba Jiji.
Siku moja yampa jeuri Minziro KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’ amesema kusogezwa mbele siku moja kwa mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji kumempa nafasi ya kuendelea kuijenga timu kisaikolojia baada ya kukamilisha...
Simon Msuva atia neno usajili wa Gomes WINGA wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Al Talaba ya Iraq, Saimon Msuva amezungumzia usajili wa mshambuliaji wa Singida Black Stars aliyekuwa akicheza kwa mkopo Fountain Gate, Seleman Mwalimu...
PRIME Cheki Selemani Mwalimu alivyovunja rekodi ya Msuva Morocco Gomez mwenye mabao sita ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu akizidiwa mawili pekee na Elvis Rupia wa Singida Black Stars aliyefunga manane akiwa kinara, amesajiliwa na Wydad kwa ada ya uhamisho ya...