PRIME Mo Dewji awatia hasira mastaa Simba KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua baada ya mchezo wao wa Ligi Kuu uliokuwa upigwe leo dhidi ya Dodoma Jiji kuahirishwa, lakini mapema bilionea na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu...
Kagera Sugar yazinduka Kaitaba KAGERA Sugar imemaliza ukame wa ushindi baada ya kushinda nyumbani wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate ikiwa kwenye Uwanja wa Kaitaba, mjini Bukoba huku mshambuliaji raia wa Uganda, Peter Lwasa...
PRIME Vita mpya Aziz KI, Feisal yahamia huku UNAIKUMBUKA ile bato ya viungo Feisal Salum ‘Fei Toto’ wa Azam na mwenzake Stephanie Aziz KI wa Yanga, basi msimu huu wamekuja kivingine na mdogo mdogo wanaanza kukiwasha tena wakikimbizana kwa...
PRIME Mpanzu ameanza balaa kaeni kwa kutulia KIUNGO mshambuliaji wa Simba Ellie Mpanzu, ameanza kujipata baada ya juzi kutupia bao la kwanza katika Ligi Kuu Baara, wakati Wekundu wakipata ushindi wa mabao 3-0 nyumbani dhidi ya Tanzania...
Feitoto kafichua kitu miasisti yake KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amefichua kasi yake ya kutengeneza mabao haitapoa kwani ana malengo makubwa zaidi msimu huu.
PRIME Fadlu: Tulieni, ngoma bado mbichi WANAYANGA hivi sasa wanatamba baada ya kuishusha Simba kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara hali inayoongeza presha ya kubeba ubingwa.
PRIME Sio pesa tu, haya pia yalichangia Ramovic kusepa LICHA ya kupeleka ombi la kuvunja mkataba ili aondoke klabuni kwa kilichoelezwa amepata ofa nono kutoka CR Belouizdad ya Algeria, lakini kuna mambo kadhaa nyuma ya pazia katika dili la kocha Sead...
Kocha mpya Yanga alivyotua Dar WAKATI maswali yakiwa mengi kuhusu kuondoka kwa kocha wa Yanga, Sead Ramovic aliyekuwa kocha wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud na msaidizi wake Nassim Anisse wametua kwenye Uwanja wa ndege wa...
PRIME Makocha: Kuna timu hukodi timu za vijana mitaani - RIPOTI MAALUM 4 KATIKA sehemu iliyopita ya mfululizo wa makala za leseni za klabu upande wa timu za vijana, wadau wamezungumza mambo mbalimbali ikiwamo changamoto zinazosumbua... Endelea na mahojiano haya
PRIME Yanga yatua Maniema ikimsaka mbadala wa Aziz KI MISIMU miwili iliyopita, mashabiki wa Yanga walidhani ni ndoto kuuzwa kwa mshambuliaji Fiston Mayele. Lakini Pyramids wakaweka mzigo mezani mwamba akasepa kiroho safi.