Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

750 results for Nevumba Abubakar :

  1. Omar Kaya, Msita waula Singida BS

    KATIBU wa zamani wa Yanga na aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Namungo, Omar Kaya sambamba na Yohana Msita wameula baada ya kuteuliwa katika nafasi mbili tofauti ndani ya klabu ya Singida Black Stars.

  2. Aziz KI aingia anga za MO Salah, Mane

    KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwenye tuzo za African Golden Awards akishindana na nyota kibao wa Afrika wakiwamo Mohamed Salah wa Liverpool na...

  3. Haya yatampaisha zaidi Abigail, kuingia anga za Tyla

    KIPAJI huwa akifichiki. Akiwa ndio kwanza ana miaka mitatu kwenye sanaa ya muziki, lakini nyota yake imekua kwa kasi na kuwaburuza baadhi ya wasanii walioanza kitambo kwenye game ya Bongo Fleva.

  4. Simba Queens yataka rekodi tatu bongo

    KOCHA wa Simba Queens, Yussif Basigi amesema anatamani kuandika rekodi tatu kwenye ligi ya Tanzania ambayo ndio msimu wake wa kwanza kuitumikia.

    SIMBA Q Pict
  5. Mikataba inavyowapa mamilioni wabongo

    KUMEKUWA na wimbi la wachezaji wa Bongo wanaocheza soka la kulipwa nchi mbalimbali kukutana na changamoto za kuvunjiwa mikataba ambayo sasa wanapambana na kupata haki zao.

    MIKATABA Pict
  6. Fountain Gate Princess shida ni washambuliaji

    KOCHA wa Fountain Gate Princess, Camil Mirambo amesema mashindano ya Samia Women Cup yaliyofanyika mkoani Arusha yamemuonyesha mwanga wa eneo lipi anapaswa kulifanyia kazi kwa haraka.

    FGP Pict
  7. Ceasiaa Queens yalia na ratiba WPL

    KOCHA wa Ceasiaa, Ezekiel Chobanka amesema mvurugano wa ratiba umeathiri kiasi kikubwa maandalizi ya mchezo dhidi ya Mlandizi Queens.

    Ceaseaa Pict
  8. Yanga Princess imejipata

    UNAWEZA kusema Yanga Princess chini ya kocha Edna Lena ‘ Mourinho’ imeanza kujipata kutokana na muendelezo na ubora wanaouonyesha msimu huu.

    Yanga P Pict
  9. Kariakoo Dabi yaahirishwa, kupangiwa tarehe nyingine

    KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Bara (TPLB) imetangaza kuahirisha mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Yanga na Simba uliopangwa kuchezwa leo Jumamosi Machi 8, 2025, saa 1:15 usiku...

  10. Kapo ya Aziz KI, Hamisa Mobeto yawania tuzo

    SIKU chache baada ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz KI kufunga ndoa na mwanamitindo, Hamisa Mobetto kapo yao imewekwa kuwania tuzo.

    Aziz Pict
Previous

Page 17 of 75

Next