Mastaa Yanga waapa Nigeria huo wakiwemo makipa watatu Djigui Diarra, Metacha Mnata, Erick Johora wakati mabeki wakiwa Ibrahim Abdulla 'Bacca', nahodha mkuu Bakari Mwamnyeto, Dickson Job, Kibwana Shomari...
MJUAJI: Mjue staa wa kwanza kutoka Yanga kwenda Simba JANA Aprili 16, 2023 ilikuwa dabi ya Kariakoo. Miaka 40 iliyopita tarehe kama hiyo, Simba ilikubali kichapo cha mabao 3-1. Ndio ilikuwa ni Aprili 16, 1983. Simba ilikuwa imetoka kujiandaa na Ligi...
Kiwango kwa Yanga hii haikuwa rahisi makipa wa timu za taifa. Makipa hao kwa vipindi tofauti wamekuwa wakibadilishana kwenye mechi za timu hiyo na kuwasahaulisha kabisa mashabiki wa klabu hiyo waliokuwa na presha enzi za makipa kama...
Nabi atua na siri za mastaa sita Rivers, Yanga WAUMINI wa madhehebu ya Kikristo wakisheherekea sikukuu ya Pasaka leo, Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi atakuwa kwenye ardhi ya Dar es Salaam akiwa na faili lenye siri za mastaa sita wa River...
Onyango mdogo kwa Mauya TIMU za Simba na Yanga zipo kwenye michuano ya kimataifa kwa msimu huu na hadi sasa zinaonekana kuwa zina nafasi kubwa ya kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano hiyo, lakini majina...
Nabi mpango umetiki, aikwepa Bamako YANGA iliilaza KMC 1-0 katika mechi ya Ligi Kuu juzi jioni na usiku wake ikapaa kwa ndege kuanza safari ya kuwafuata wapinzani wao Real Bamako ya Mali, lakini kuna salamu nzito kocha wa timu hiyo...
Sio kawaida, namba za kushangaza Ligi Kuu Bara awali akiwa Simba alikuwa anavaa jezi Namba 6 wakati Biashara alikuwa anavaa 8. PIUS BUSWITA-3 Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Mbao ya Mwanza, Ruvu Shooting ambaye sasa anakipiga Namungo...
Bab’kubwa! Ligi Bara inavyowabeba Wazenji zilishiriki michuano hiyo ya Kombe la Mapinduzi 2023, huku Mabingwa wapya, Mlandege wakiongoza kwa kutoa wachezaji wengi (watatu). Wachezaji hao ni kipa Yusuf Ali ‘Mpelule’ aliyechukua tuzo ya...
African Sports: Simba atatuheshimisha zaidi Dundee itabidi wajilaumu kutokana na kupoteza nafasi nyingi ndani ya dakika 90 zilizokoswa na washambuliaji Jammy Simba, Ibrahim Nyoka na Hamis Rajab. Sports itakutana na Simba kati ya...
Musonda, Mayele wamvuruga Nabi Hapo hapo wakaongeza, ipo siku kuna mziki wa wageni pekee utashushwa na watu wakakimbiana, lakini kocha Nasreddine Nabi akakakazia akisema kwa sasa kama kuna kitu kinampa presha ni jinsi ya...