PRIME Dabi ya moto, Miloud aitengea Simba siku mbili YANGA ilirejea Dar es Salaa jana ikiwa na vaibu baada ya kuwafunga Pamba Jiji kwao, Mwanza kwa kipigo cha mabao 3-0, lakini mambo kwa sasa ni Dabi ya Kariakoo inayotarajiwa kupigwa Jumamosi ijayo...
Bwenzi aanza tambo Bara KenGold NYOTA wa KenGold, Selemani Bwenzi amesema licha ya kikosi hicho kuendelea kusalia mkiani mwa Ligi Kuu Bara na pointi 15, lakini kuna matumaini makubwa ya kukinasua na janga la kushuka daraja...
Mil 400 zilivyomnyima kiungo ulaji Azam FC KIUNGO nyota wa KMC, Ibrahim Elias 'Mao' ameelezea safari ya miaka miwili katika soka la Tanzania, huku moja ya jambo kubwa analolielezea ni kitendo cha kushindwa kuichezea Azam FC sababu ikiwa...
Bwenzi mzee wa Ndondo Cup na ndoto ya ufungaji bora Ligi Kuu SELEMANI Salum Bwenzi ni miongoni mwa nyota wanaofanya vizuri katika kikosi cha KenGold kutokana na uwezo anaoendelea kuuonyesha, baada ya kuchangia mabao sita ya Ligi Kuu hadi sasa, akifunga...
Cheche aachia ngazi Cosmopolitan KLABU ya Cosmopolitan imeachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Idd Nassor 'Cheche', baada ya makubaliano ya pande mbili, huku sababu ikiwa ni mwenendo usioridhisha wa kikosi hicho katika...
Sowah kiatu anakitaka Bara MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Jonathan Sowah ameanza maisha yake vyema katika kikosi hicho tangu ajiunge nacho dirisha dogo la Januari mwaka huu akitokea Al-Nasr Benghazi ya Libya, hivyo...
PRIME Pamba Jiji v Yanga ni mechi ya kiufundi Timu hizo zinatarajiwa kukutana leo ikiwa ni kati ya mechi mbili za Ligi Kuu zinazopigwa leo Ijumaa, huku mshabiki wakitarajia kushuhudia pambano la kiufundi zaidi, Pamba ikitaka kulipa kisasi na...
PRIME Hamdi anavyotembelea nyayo za Ramovic Yanga USHINDI wa Yanga wa mabao 5-0, ilioupata juzi dhidi ya Mashujaa, umemfanya kocha wa timu hiyo, Miloud Hamdi kutembelea nyayo za mtangulizi wake, Sead Ramovic aliyeondoka na kutimkia CR Belouizdad...
PRIME Medo avunja ukimya kutimuliwa Kagera Sugar ALIYEKUWA kocha mkuu wa Kagera Sugar, Melis Medo anayedaiwa kutemwa na timu hiyo kutokana na matokeo mabaya iliyonayo katika Ligi Kuu, amevunja ukimya kwa kuandika kilichomuondoa ndani ya timu...
Matano mambo magumu Fountain HALI ni mbaya kwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate, Mkenya Roberto Matano baada ya kikosi hicho kuchapwa juzi bao 1-0, dhidi ya Dodoma Jiji, na kuifanya timu hiyo kufikisha jumla ya michezo minane ya...