PRIME Fadlu afanya maamuzi magumu Simba KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema licha ya wachezaji kuwa katika fomu nzuri ya ushindani, lakini amegoma kuwapa mapumziko wakati mchezo wao na Dodoma Jiji ukiwa umeahirishwa kwa kuhofia...
Dar Swim kushiriki mashindano ya taifa Kenya TIMU ya kuogelea ya Dar Swim Club inatarajia kushiriki mashindano ya taifa ya Kenya 'Kenya Aquatics Long Cource Championship' yanayotarajiwa kuanza Jumamosi, Februari 15 hadi 16.
Ouma alia na washambuliaji Singida LICHA ya kupata ushindi wa kwanza katika mechi nne zilizopita za Ligi Bara na kuvunja pia rekodi ya maafande wa JKT Tanzania kwenye Uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo, bado kaimu kocha mkuu wa Singida...
Mbabe wa Diarra azidi kutupia, Makambo karudi kambani BAO la dakika za jioni lililopachikwa kwa kichwa na Harittie Makambo, limeipa pointi moja Tabora United nyumbani ilipoikaribisha KenGold kwenye Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, Tabora.
Mechi 4 za kuheshimiana Ligi Kuu KUNA mechi nne za kuchezesha karata ngumu. Ni leo jioni majibu yote yatapatikana. Mjadala mkubwa zaidi ukiwa kwa Yanga na KMC pale Mwenge, Dar es Salaam. Rekodi zinaonyesha kuwa mbaya kwa KMC...
PRIME Tatizo la Yanga liko hapa UBAO unaweza kupinduka. Namba za mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga zinashuka siku hadi siku tofauti na Simba inayoimarika kulinganisha na misimu mitatu nyuma.
PRIME Aucho: Injini ya Yanga inayozeeka na utamu wake DAKTARI wa mpira. Ndiyo jina maarufu kwake kutokana na umahiri wake katika kuituliza timu licha ya umri kumtupa mkono.
PRIME Ghafla tu, Kagoma kapindua meza Simba! UPEPO umebadilika! Ndio, kiungo Yusuf Kagoma amejipatia umaarufu baada ya wababe wa Kariakoo, Simba na Yanga kumnyatia na mmoja kati yao kuwa na kisu kikali na kuinasa saini yake akitokea Singida...
Gilbert: Cosmopolitan inahitaji morali tu KIUNGO wa Cosmopolitan, Gilbert Boniface amesema kikosi hicho kwa sasa kinapitia kipindi kigumu kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri katika Ligi ya Championship, licha ya kukiri wachezaji...
PRIME Hamdi amtisha Fadlu, awapa neno mastaa Yanga mtihani uko hapa! KITENDO cha Kocha Miloud Hamdi kukabidhiwa kikosi cha Yanga huku zikipita takribani siku nne pekee, mwenyewe ametoa kauli inayoweza kuwa ni kama tishio kwa watani zao, Simba wanaonolewa na...