Yanga Princess yapitisha panga mapema tu UONGOZI wa klabu ya Yanga jana ulitangaza rasmi kuvunja mkataba na makocha wa timu ya Yanga Princess Edna Lema na Mohammed Hussein "Mmachinga".
KASONGO: Simba, Yanga zinatuvuruga MASHABIKI wengi wa soka nchini hupenda kutupa madongo kwa Shirikisho la Soka (TFF) na wakati mwingine Bodi ya Ligi (TPLB) pale kunapokuwa na mkanganyiko juu ya uamuzi unaozihusu Simba na Yanga.
Sababu kocha Azam kukosa tuzo yatajwa Ongala alikabidhiwa mikoba ya kukinoa kikosi hicho mwezi Oktoba baada ya kumtimua Dennis Lavagne na kukiongoza katika mechi nane za ligi bila kupoteza.
Watano Simba kula panga VIGOGO wa Simba kama watafanikiwa kupata mashine mpya nne za kigeni wanazozihitaji ili kuongeza makali ya kikosi hicho, kuna wachezaji wasiopungua watano huenda wakaonyeshwa mlango wa kutokea...
Simba yamkana kocha tuhuma za dawa za kulevya BAADA ya taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kuwa imemkamata Kocha wa Makipa wa Simba...
Nabi ana balaa...awafungia busta Wasudani YANGA imeingia kambini kuanza kazi kibabe na jana ilikuwa na dozi mara mbili ikijipanga tayari kupambana na Waarabu wa Sudan, Al Hilal huku kocha Nasreddine Nabi akarusha kombora zito angani na...