Pep Guardiola apewa muda Man City MABOSI wa Manchester City wamempa muda wa kufikiria kocha Pep Guardiola kabla ya kujua kama ana mpango wa kumaliza mkataba au kuondoka mwishoni mwa msimu huu.
Mechi ya Argentina, Hispania yafutwa MSIMAMO wa Lionel Messi kuhusu kufutwa kwa mechi ya Finalissima umeibua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa soka Hispania na Argentina.
Mashabiki Liverpool washindwa kuvumilia MASHABIKI wa Liverpool wenye hasira walionekana wakiondoka katika Uwanja wa Etihad wakati mechi kati ya klabu yao na Manchester City ikiwa imechezwa kwa dakika 60 tu.
Casemiro ampendekeza Bruno Man United KIUNGO Casemiro amemtaja staa wa Newcastle United, Bruno Guimarães, kama chaguo bora la usajili ambao mabosi wa Manchester United wanapaswa kuufanya dirisha lijalo la usajili wakati yeye...
Robbie Keane kupewa kimeo Spurs TOTTENHAM Hotspur inaripotiwa kumfikiria Robbie Keane kama kocha mpya kwa ajili ya msimu ujao huku ikijaribu kukabiliana na kipindi kigumu zaidi katika historia ya hivi karibuni ya klabu hiyo.
Waachana baada ya uchumba wa siku tatu STAA mmoja wa soka ametangaza kuwa ameachana na mchumba wake siku tatu tu baada ya kumvisha pete ya uchumba uwanjani.
Nahodha Super Falcons asikitishwa kuahirishwa kwa WAFCON 2026 NAHODHA wa timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria maarufu Super Falcons, Rasheedat Ajibade, ameeleza kusikitishwa kwake na uamuzi wa ghafla wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kusogeza mbele...
FRMF yamrithisha Mohamed Ouahbi mikoba ya Walid Regragui SHIRIKISHO la Soka la Morocco (FRMF), limemtangaza Mohamed Ouahbi kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya taifa ya nchi hiyo, akichukua nafasi ya Walid Regragui.
Amad atupia Ivory Coast ikishinda kidude STAA wa Manchester United, Amad Diallo amefunga bao maridadi kuipa mabingwa watetezi wa Afcon, Ivory Coast ushindi muhimu dhidi ya Msumbiji kwenye mechi yao ya kwanza ya Kundi F kwenye mashindano...
Mane achomoa kuiokoa Senegal isichapwe Afcon 2025 SENEGAL imetokea nyuma kusawazisha bao dhidi ya DR Congo katika mchezo wa Kundi D la Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025, huku timu zote mbili zikikaribia hatua ya 16 bora. Cedric Bakambu...