PRIME Imefichuka! Ujanja wa Fadlu uko hapa tu KIKOSI cha Simba kinajiandaa kuondoka Dar es Salaam kwenda Tabora kwa ajili ya pambano la kiporo cha Ligi Kuu Bara, huku kikiwa kinaongoza msimamo wa ligi hiyo, lakini ikianikwa siri zinazombeba...
UCHAMBUZI: Afcon 2025 mzigo upo hivi TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itakuwa katika kundi C kwenye fainali za Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) zitakazofanyika Morocco kuanzia Desemba 21, 2025 hadi Januari 18, 2026.
PRIME Ikanga Speed aibua presha mpya Yanga KUNA wachezaji watatu ndani ya kikosi cha Yanga walioibua presha mpya inayoweza kubadilisha upepo ndani ya timu hiyo siku chache zijazo wakati Ligi Kuu Bara itakaporejea.
Ikanga Speed aachiwa Copco KIKOSI cha Yanga leo Jumamosi kinaanza rasmi harakati za kutetea ubingwa wa Kombe la Shirikisho la TFF wakati kitakapoikaribisha Copco ya Mwanza kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es...
Viunzi viwili vibonde Ligi Kuu Bara Makocha wa timu nne zinazoshika mkia kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara wana wiki mbili za kujiandaa kujibu mitihani miwili migumu ambayo inaweza kuzifanya mbili zishuke daraja moja kwa...
AKILI ZA KIJIWENI: Karibu sana kocha Heric wa KenGold NAKUKARIBISHA kwa moyo mkunjufu kocha wa mpira Vladislav Heric ambaye umepata shavu hapo KenGold FC ambayo inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.
AKILI ZA KIJIWENI: Feruzi afuate nyayo za Dilunga JAMBO lililotukosha hapa kijiweni ni kipa Feruzi Teru aliyekuwa chaguo la tano pale Simba kujiunga na Kagera Sugar dirisha dogo.
AKILI ZA KIJIWENI: Mpanzu atulize mawenge anajua mpira USAJILI ambao Simba iliufanya wa kumsajili Elie Mpanzu katika dirisha dogo la usajili ulikuwa gumzo kubwa nchini kutokana na jina ambalo mchezaji huyo kutoka DR Congo alikuwa nalo kabla hata hajaja.
PRIME Camara, Ahoua waibeba Simba Caf WACHEZAJI Moussa Camara, Jean Charles Ahoua, Kibu Denis na Leonel Ateba wameonekana kuwa na mchango wa kipekee katika kuiwezesha Simba kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho...
Yanga katika namba Ligi ya Mabingwa Afrika Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo baada ya kutoka sare tasa nyumbani juzi, Jumamosi dhidi ya MC Alger ya...