Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

687 results for Victoria Melkiad :

  1. Simba na siku nane za kibabe

    SIMBA imebakiwa na dakika 180 za kibabe katika mbio za ubingwa msimu huu, huku kocha wa timu hiyo, Fadlu David akisisitiza anataka kwanza kumaliza mechi mbili zijazo kabla ya kujipanga kwe...

    Fadlu Pict
  2. PRIME Che Malone amshtua Fadlu

    SIMBA inajiandaa kulihama jiji la Dar es Salaam ili kwenda Arusha kuvaana na Coastal Union kabla ya kurejea kujiwinda dhidi ya Yanga katika Dabi ya Kariakoo itakayopigwa Machi 8, kuna mambo flani...

  3. PRIME Rekodi yamtesa Fadlu Simba

    Kocha wa Simba Fadlu Davids amesema mechi mbili zijazo zinaweza kutoa picha halisi ya ubingwa kwa timu yake msimu huu.

  4. PRIME Siri imefichuka… Hapa ndiyo jeuri ya Yanga ilipo

    KUNA kitu Yanga inakifanya kwa sasa, ikipambana kuhakikisha kwamba inaikamata rekodi ya Simba ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara nne mfululizo katika miaka ya karibuni, kabla haujahamia...

    JEURI Pict
  5. Kocha Azam: Simba bahati yao

    SARE ya mabao 2-2 bado inaiumiza kichwa Simba ikiona kama inajipa wakati mgumu kuwania ubingwa wa Ligi Buu Bara, lakini kumbe Azam nao wanalia wakiamini Wekundu hao wana bahati na walitaka...

    TAUSI Pict
  6. Majeraha yamtibulia Yacouba Songne

    MSHAMBULIAJI nyota wa Tabora United, Yacouba Sogne huenda akakosa mechi zilizosalia za Ligi Kuu Bara kutokana na kusumbuliwa na majeraha yaliyomuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu, kwani hivi sasa...

    YACOUBA Pict
  7. PRIME Fadlu atenga dakika 270 za ubingwa Simba

    UBINGWA wa Ligi Kuu Bara msimu huu ni kama kaa la moto, kwani timu zinazokimbizana kileleni zile tatu kila moja ipo mawindoni ikilisaka taji ambalo lipo mikononi mwa Yanga inayopambana kulitetea.

  8. Kocha Azam atoa kauli nzito Mzizima Dabi

    ZIKIWA zimesalia siku mbili ili kuchezwa Mzizima dabi, kocha wa Azam Rachid Taoussi ajitanua kifua mbele kwa Simba akisema kikosi chake hakina sababu za kufungwa na Wekundu wa Msimbazi.

  9. ALLY KAMWE: Namshawishi Mayele arudi, 5-0 za Simba zilinitesa

    KUNA muda kwenye maisha unajiwekea mipango yako au kudhania sehemu fulani inawahusu watu wa aina tofauti na wewe kumbe haiko hivyo.

  10. PRIME Ishu ya Ikanga Speed, Yanga yafikia hapa

    MASHABIKI wa Yanga wana kiu ya kumwona nyota mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka AS Vita ya DR Congo akiliamsha katika kikosi hicho, lakini...

    Ikanga Pict
Previous

Page 15 of 69

Next