Amissi Tambwe wala hajakurupuka SIKU chache baada ya kutangazwa kuwa meneja wa Singida Black Stars, straika nyota wa zamani wa Simba na Yanga aliyeacha alama katika Ligi Kuu, Amissi Tambwe amevunja ukimya na kuteta na...
Majeraha yamtibulia Camara Simba Simba itawakosa wachezaji wake Moussa Camara na Che Malone Fondoh katika mchezo wake wa Ligi Kuu kesho Jumamosi, Februari 28, 2025 dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Baresi akiri anastahili ‘thank you’ SAA chache baada ya uongozi wa Mashujaa kuvunja benchi lao la ufundi, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Mohamed Abdallah ‘Bares’ amesema wamewajibika kutokana na matokeo mabovu ya timu hiyo.
Bocco aukubali mziki wa Mzize, Ateba NAHODHA wa zamani wa Simba na Taifa Stars ambaye kwa sasa anakipiga JKT Tanzania, John Bocco amemtaja Leonel Ateba (Simba) na Clement Mzize (Yanga) kuwa ni wachezaji halisi wa kati wenye uwezo wa...
PRIME Simba ikae chonjo, Tshabalala awatikisa Waarabu MECHI 10 zilizobaki za Simba mzimu huu zinaendelea kuwaumiza viongozi wa klabu hiyo wakipiga hesabu za namna ya kuzicheza ili wabebe ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, huku kukiwa na mambo kibao...
PRIME Clement Mzize grafu inazidi kupaa CLEMENT Mzize. Jina kubwa kwa sasa kwenye soka la Bongo. Kipaji murua cha kizawa.
PRIME SOUD: Kwenye usajili Bara kuna uhuni mwingi, tutaukomesha! LICHA ya kubadilishwa kwa mfumo wa usajili wa wachezaji kwa ajili ya Ligi tofauti zilizopo Tanzania, lakini bado kuna madudu yamekuwa yakijitokeza na kuzua sintofahamu kwa wadau.
Mayanga ashtukia jambo Mbeya City KOCHA wa Mbeya City, Salum Mayanga amesema hadi sasa timu hiyo kutoka jijini Mbeya iko katika uelekeo mzuri kutokana na nafasi iliyopo na kuwataka nyota wa kikosi hicho kuongeza umakini zaidi...
PRIME Aziz KI v Ahoua… Hapa kuna vita nzito NAMBA haziongopi. Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na namba za kiungo wao mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua akimfunika MVP na mfungaji bora msimu uliopita, Stephane Aziz Ki.
PRIME Kuna nini Yanga? Mwingine asepa! ALIANZA aliyekuwa kocha mkuu, Sead Ramovic, kisha akafuata kocha wa makipa Alaa Meskini, kiasi cha kuanza kuzua maswali, Yanga kunani?