Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

345 results for Mwandishi Maalumu :

  1. MAONI: Simba inahitaji utulivu mkubwa

    UNAWEZA kusema hali sio shwari sana ndani ya klabu ya Simba na siyo tu baada ya kichapo walichopata kutoka kwa watani zao, Yanga waliowafungwa mabao 5-1 wikiendi iliyopita. Hali ndani ya Simba...

  2. MTU WA MPIRA: Ni akili ya Robertinho dhidi ya Yanga iliyochangamka

    DABI ya Kariakoo. Mchezo wenye hadhi na thamani kubwa zaidi nchini unachezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ni Simba dhidi ya Yanga. Huu ndio mchezo mkubwa zaidi kwenye ukanda huu wa Cecafa.

  3. Kila mtoto kulipa kiingilio Kwa Mkapa, usiingie na silaha uwanjani

    BODI ya Ligi Tanzania (TPLB) imewataka mashabiki wanaopenda kwenda uwanjani na watoto wao kushuhudia Dabi ya Karikaoo wawakatie tiketi ili wapate nafasi ya kukaa.

  4. PRIME PUMZI YA MOTO: Wachezaji Azam FC hawamtaki Kocha Dabo

    HATIMAYE jinamizi la makocha kukataliwa na wachezaji wa Azam FC limeibuka tena kama ambavyo hutokea kila mwaka. Katika umri wake wa miaka 15 kwenye Ligi Kuu, Azam FC imewahi mara moja tu kuanza...

  5. MTU WA MPIRA: Hii Yanga ya Gamondi tutalaumu wapinzanzi bure

    KUNA watu wanateseka kwa vita. Kuna watu wanateseka kwa njaa. Kuna watu wanateseka na magonjwa. Mateso ni mengi sana. Halafu kuna watu wanateseka na Yanga. Ndio. Leo nitazungumzia hawa...

  6. NIONAVYO: African Football League ni utajiri mkubwa

    (Uefa) na Fifa.  Mradi huo ulikufa, baada ya Uefa kutishia kuviondoa kwenye mashindano inayoyaandaa. Suala la Fifa kupingana na Super League ya klabu za Ulaya na kuiunga mkono kwa nguvu zote Super...

  7. MAONI: Hii ni heshima ya nchi, tusifanye makosa

    KESHO ndio uzinduzi wa michuano mipya ya Ligi ya Afrika (African Football League maarufu kama CAF Super League), shughuli inayofanyika katika ardhi ya Tanzania. Michuano hiyo inayoshirikisha...

    New Content Item (1)
  8. PRIME Kwa mbinu hizi Al Ahly wanapasuka

    maalumu zaidi upande anaocheza Tshabalala kwa kuwa mabao mengi ya Ahly yametengenezwa kupitia huko anakocheza Mohammed Hanny anayeshirikiana vyema na Pecy Tau ambaye ndiye staa wa Ahly.

  9. Kipa Mrundi aibukia Yanga

    huyo yupo Yanga kwaajili ya kuendeleza kiwango chake kwa makubaliano maalumu lakini bado hajasajiliwa. “Kwa sasa yupo huru ndio maana umemuona pale. Hajasajiliwa bali yupo kupata uzoefu na...

  10. Mkude, Metacha warejea kikosini Yanga

    akiwa na ruhusa maalumu na kukosa mechi ya marudiano dhidi ya Al Merreikh, Ihefu na Geita Gold. Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi aliliambia gazeti hili jana kuwa atatumia kipindi hiki cha...

Previous

Page 14 of 35

Next