Kessy akumbushia kesi ya 'kampa kampa tena' aitabiri dabi ya Machi 8!
UNAIKUMBUKA lile jambo la tuhuma ya beki wa zamani wa Simba na Yanga, Hassan Kessy hadi ikazaliwa 'kampa kampa' Ngoma na mashabiki wa Jangwani wakachapisha jezi zenye maneno hayo, ilikuwa ni dabi...