PRIME Amrouche amepanda mtumbwi wa vibwengo? FILAMU isiyoeleweka sana ipo hapa San Pedro. mji ulio kilomita 333 kutoka katika mji mkuu wa Ivory Coast Abidjan. Kila kitu kimetokea hapa kuhusu kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche. Hali ya hewa...
JIWE LA SIKU: Kuna mahali Benchikha anatuacha SIELEWI! Sio kwa kumkosea heshima. Sio kwa dharau. Sio kwa kukosa adabu. Nilidhani kadri muda unavyozidi kwenda Simba itabadilika kiuchezaji. Niliamini muda unavyozidi kwenda kocha Abdelhak...
PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Mwijaku, Baba Levo wapewe Taifa Stars Hamasa ya timu za Taifa. Kazi ya kamati ni kuhamasisha Watanzania kupenda timu na kuzichangia. Haya ndiyo malengo makuu. Hakuna lingine lolote na ni kazi isiyokuwa na malipo. Oscar...
Kamati ya Taifa Stars AFCON yazua mjadala mzito Neema Msitha (Katibu), huku wajumbe ni Beatrice Singano, Michael Nchimbi, Jemedari Said, Nick Reynolds ‘Bongo Zozo’, Hamis Ali na Christina Mosha ‘Seven’. Wengine ni Injinia Hersi Said, Salum...
Wajumbe 19 wa hamasa timu ya Taifa wateuliwa, Mwijaku na Hersi ndani Tanzania imefuzu kushiriki Fainali za Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON nchini Ivory Coast, michuano hii inaanza Januari 13- Februari 11, 2024. Pia, Tanzania 'Twiga Stars' imefuzu...
Ubishi wa mzee wa Kaliua: Fei Toto ni bora kuliko Pacome Ni vigumu sana kumpata Mfalme wa Soka la Tanzania nje ya Simba na Yanga. Ni vigumu sana. Jean Baleke anaimbwa sana kuliko Prince Dube. Hakuna ubishi. Huu ndiyo ukweli. Soka letu wafalme wote wako...
Hawa hapa watakaokinukisha Mapinduzi Cup 2024 michuano hiyo ikiwategemea nyota wake kadhaa akiwamo Bizimana Valentin Nestory, Oscar Sikah, Bakar Nassor Bakar na Abdallah Said aliyeitwa hivi sasa katika kikosi cha timu ya taifa ya...
PRIME Kwanini Simba wasiachane tu na Chama? HAKUNA kitu kibaya kama kutoaminika kwenye maisha. Simba na Clatous Chama wamekuwa na ndoa ya muda mrefu, lakini hakuna anayemuamini mwenzake. Ni kweli Chama bado ni mchezaji mzuri na anaweza...
Hizi dili zimekula pesa ndefu sana dirisha la Januari . Oscar – Shanghai Port, Pauni 60milioni Oscar alikuwa mmoja wa mastaa wenye vipaji matata kabisa waliowahi kukipiga kwenye Ligi Kuu England wakati Chelsea iliponasa saini yake...