PRIME Wakongwe wakemea Kariakoo Dabi kuahirishwa kienyeji HUKO mtandaoni bado mashabiki wa soka wana hasira kutokana na kuahirishwa kwa pambano la Dabi ya Kariakoo iliyokuwa ipigwe juzi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku baadhi ya wadau wakiwamo...
PRIME Okwi bado gumzo Kariakoo Dabi LICHA ya kwamba imeshapita miaka zaidi ya sita tangu Emmanuel Okwi alipoondoka nchini baada ya kumalizana na Simba aliyokuwa akiichezea, lakini jina lake bado linaendelea kutajwa ikielezwa ndiye...
Dalali aeleza mazuri ya Sarungi kwenye soka Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali amesema mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani marehemu Profesa Philemon Sarungi alikuwa msaada mkubwa kwa wanasoka nchini wakiwemo wa timu za Simba...
Dabi za Camara, Diarra kitawaka Machi 8 KATI ya maeneo yatakayokuwa magumu kwenye mechi ya Machi 8, 2025 ya Dabi ya Kariakoo ni la makipa kutokana na Djigui Diarra wa Yanga na Moussa Camara anayeidakia Simba kuonyesha viwango vya juu...
Mastaa Bongo wanavyoguswa tatizo la afya ya akili KWA jumla kumekuwa na tafiti mbalimbali duniani juu ya afya ya akili ikielezwa kati ya watu 10, wanne miongoni mwao wanakabiliwa na changamoto hiyo.
Dalali atoa neno kuhusu Machi 8, Dabi ya Kariakoo MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Hassan Dalali amesema licha ya kuipa nafasi Simba ya kushinda mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani zao Yanga, Machi 8, lakini haijawahi kuwa rahisi tangu...
Kibu, Hamza kuna siri nzito Simba SIMBA imerejea kambini jana tayari kwa maandalizi ya mchezo ujao wa Dabi ya Kariakoo, huku kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Kibu Denis akifichua beki Abdulrazack Hamza, amekuwa kipimo kizuri...
Mlandizi, Ceasiaa mechi ya matumaini LIGI itakaporejea kuna mechi kali tano zitakazopigwa viwanja mbalimbali ikiwemo Ceasiaa Queens itakayokuwa ugenini dhidi ya Mlandizi Queens ukiwa ni muendelezo wa raundi ya 13 Ligi Kuu Bara.
Zidane aitaja janja ya Job MSHAMBULIAJI chipukizi wa Azam, Zidane Sereri amesema kama kuna beki anayemuumiza akili inapotokea wanakutana katika mechi basi ni Dickson Job wa Yanga kwa aina ya ukabaji wake, unakuwa unahitaji...
PRIME Maujanja ya Simba yapo hapa SIMBA ya msimu huu chini ya Kocha Fadlu Davids imeonekana moto, ikiusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kulikosa kwa misimu mitatu mfululizo, lakini ikiwa timu pekee iliyosalia katika michuano...