PRIME Makocha wanavyogeuka wazazi KATIKA ulimwengu wa soka makocha wamekuwa wakichukua kazi ya kuwafundisha wachezaji, lakini pia ni kama walezi wao.
Azam FC, Yanga kumaliza ubishi Dar ILIANZA kunyukwa Kagera Sugar, baadhi ya mashabiki wakasema Wanankurukumbi wameotewa kwani walikuwa hawajakaa sawa. Ikapigwa KenGold, KMC na Pamba Jiji, wimbo ukawa huo huo kwamba, Yanga ni kama...
Straika Coastal apiga hesabu za Simba WAKATI safu ya ulinzi ya Simba ikiongozwa na beki Mcameroon, Che Malone Fondoh ikiwa haijaruhusu bao lolote katika mechi nne za Ligi Kuu Bara msimu huu, imeonekana kumpa kazi mpya mshambuliaji wa...
PRIME Yanga kazi ndo imeanza KIKOSI cha Yanga usiku wa jana kilikuwa uwanjani kuumana na KMC katika mechi ya Ligi Kuu Bara na sasa kinajiweka sawa kukabiliana na Pamba Jiji, huku kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi akisema...
Vita Simba, Yanga imeanza kuchangamka LIGI Kuu Bara inazidi kuchangamka ambapo kwa muda mrefu pale kileleni hujaiona Simba, Azam wala Yanga ikikaa. Fountain Gate na Singida Black Stars zimekuwa zikipishana.
Kisa bao 1-0, Gamondi airudisha Yanga Dar usiku USHINDI wa bao 1-0 ambao haukufurahisha mashabiki wa Yanga, umemfanya kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi kuamua kuirudisha timu Dar es Salaam usiku kwa nia ya kuweka mipango mipya kwa mchezo...
Fadlu ala kiapo Kwa Mkapa, Walibya kazi wanayo SIMBA inatupata karata muhimu leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya ikihitaji ushindi wa aina yoyote ili itinge hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika...
Tahadhari… CBE waje kwa kutulia ACHANA na ushindi wa bao 1-0 ilioupata Yanga nchini Ethiopia na kuweka rekodi mpya ndani ya klabu hiyo katika michuano inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), na sasa Wananchi...
Simba ilivyojibu maswali magumu Libya SIMBA SC imekutana na mtihani wa kwanza kimataifa msimu huu uliokuwa na majibu magumu ambayo mwisho wa siku imeondoka na kitu chenye faida.
Mambo 5 ushindi wa Yanga Ethiopia Unaweza kusema Kocha Miguel Gamondi amekuja Yanga kwa ajili ya kufanya yasiyowezekana yawezekane kwani hadi sasa ameifanya timu hiyo kuwa tishio katika michuano ya ndani na ile ya kimataifa.