PRIME MAONI: Simba itulie sasa, impe muda Benchikha JUZI usiku mabosi wa Simba walimtangaza rasmi kocha wao mpya Abdelhak Benchikha ambaye alikuwa na msaidizi wake Farid Zemiti na kocha wa viungo Kamal Boudjenane. Hao wamekuja baada ya...
Simba, Yanga haina kufeli hadi kieleweke CAF MICHUANO ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, imeanza wikiendi iliyopita kwa wawakilishi wa Tanzania, Yanga na Simba wakitupa karata zao za kwanza kwenye viwanja viwili tofauti. Yanga ilikuwa...
RIPOTI MAALUMU: Changamoto ya lishe kwa wanamichezo wa kike nchini lishe yenye vyakula maalumu kulingana na wakati. Kuna vyakula kabla ya mechi, kuna vyakula baada ya mechi na kuna vyakula ambavyo hapaswi kabisa kujihusisha navyo kwa wingi ni hatari kwa...
Timu ya taifa gofu hata miaka 50 freshi tu INAHITAJIKA mchakato maalumu wa kuwaandaa vijana wa kuitumikia timu ya taifa ya gofu, ambao watanyakua mataji ya mashindano mbalimbali yanayofanyika kila mwaka nchi tofauti, kama...
MTU WA MPIRA: Wachezaji Simba wanacheza kama Messi? KUNA wakati lazima ukweli usemwe. Haijalishi ni mchungu kiasi gani. Haijalishi unamuumiza nani, lakini ukisema unakuwa huru. Leo nitasema ukweli kuhusu hawa wachezaji wa Simba. Ni kweli Simba...
MAONI: Klabu zijaribu kuepuka aibu hii TUMESEMA na tunarudia kuzikumbush klabu kuheshimu mikataba zinayoingia na wachezaji au makocha, kwani imekuwa ikizitia aibu. Kila mmoja anajua mkataba ni mafungamano ya pande mbili katika...
PUMZI YA MOTO: JKT Queens inapotufundisha uzalendo kupitia michezo USIKU wa Jumamosi ya Novemba 11, timu ya soka ya wanawake (JKT Queens) inayomilikiwa na jeshi la kujenga taifa (JKT) kupitia klabu ya JKT Tanzania SC ilitolewa hatua ya makundi ya fainali za...
Hersi apewe maua yake... Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said, anafanya kazi kubwa sana ya kuijenga klabu hiyo uwanjani. Hersi kijana msomi mwenye mawazo ya kimapinduzi, amekuwa mbunifu kwenye kuhakikisha kila uchao Yanga...
PRIME MTU WA MPIRA: Try Again aondoke Simba, ili aje nani? SALIM Abdallah Muhene. Huku mtaani anafahamika zaidi kama Salim ’Try Again.’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba. Aliteuliwa kwa mara ya pili mwaka huu na bilionea na mwekezaji wa klabu...
MAONI: Simba kuna tatizo zaidi ya kocha JUZI Klabu ya Simba ilitangaza kumfungulia milango kocha mkuu, Robeto Oliveira ‘Robertinho’ baada ya kipigo ilichopata jmwishoni mwa wiki iliyopita kutoka kwa watani zao wa jadi, Yanga. Uamuzi...