Simchimba afufua vita upya ya ufungaji MABAO mawili aliyofunga mshambuliaji wa Geita Gold, Andrew Simchimba katika ushindi wa timu hiyo wa 3-0, dhidi ya Mbeya Kwanza Jumatatu ya Machi 17, yamemfanya kufikisha 15, ikiwa ni idadi sawa...
Vigogo Championship wahamishia nguvu FA BAADA ya kushuhudia Mbeya City ikiwa timu ya kwanza ya Championship kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), miamba wengine watatu waliobaki katika mashindano hayo watashuka...
Masoud atuliza presha Chama la Wana KOCHA wa Stand United ‘Chama la Wana’, Juma Masoud amewataka mastaa wa timu hiyo kuacha kuangalia kile ambacho wapinzani wao wakubwa Mtibwa Sugar na Mbeya City wanachokifanya, bali wawekeze nguvu...
Vita ya kuisaka Ligi Kuu Bara inaendelea BAADA ya jana kupigwa mchezo mmoja kati ya Transit Camp dhidi ya Mbeya City, raundi ya 24, Ligi ya Championship inaendelea tena leo kwa michezo minne kwenye viwanja tofauti, huku ikihitimishwa...
Mayanga afuata nyayo za Medo, Josiah UONGOZI wa Mashujaa, upo hatua za mwisho za kumtangaza aliyekuwa kocha wa Mbeya City, Salum Mayanga ili kurithi mikoba ya Abdallah Mohamed ‘Baresi’, aliyetimuliwa Februari 26 mwaka huu kutokana...
Nini kimewakuta mastaa hawa Ligi Kuu Bara? WAKATI Ligi Kuu Bara ikisimama hadi Aprili Mosi ili kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa zinazochuana kusaka tiketi ya kufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2026, ushindani...
Chikola, Makambo wanyatia rekodi Tabora United NYOTA wa Tabora United, Offen Chikola amebakiza bao moja ili kuandika rekodi ya mfungaji bora tangu ilipopanda Ligi Kuu Bara msimu wa 2022-2023 kutokana na kiwango bora anachoonyesha.
Mbeya City yaweka rekodi Shirikisho MBEYA City imekuwa ni timu ya kwanza ya Ligi ya Championship kuweka rekodi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) msimu huu, baada ya kuifunga Mtibwa Sugar mabao 2-1, Machi...
Kwa refa huyu, Simba ijipange Cairo SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi Boubou Traore kutoka Mali kusimamia mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, kati ya wenyeji Al Masry ya Misri dhidi ya...
Bab’kubwa… Dili Hizi zimelipa Ligi Kuu! LIGI Kuu Bara imesimama baada ya Ijumaa kupigwa mechi ya kiporo kati ya Simba na Dodoma Jiji, ili kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa zinazochuana kusaka tiketi ya kufuzu...