Kipa Tausi FC aanika mikakati yake BAADA ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda kwenye michezo miwili ya kufuzu WAFCON mwakani, golikipa wa Tausi FC, Ruth Aturo amesema anatamani kuisaidia timu hiyo kupanda daraja msimu ujao.
PRIME VIDEO: Mpenja afunguka kugeukia uigizaji akiwataja Max, Chama Mtangazaji maarufu nchini Baraka Mpenja siku za hivi karibuni amekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na mtaani, baada ya kuibuka katika tamthilia ya Mwaipopo, akijulikana kama ‘Popo Boy’...
PRIME Mastaa wamtaja kipa bora wakiwachambua Camara, Diarra Makipa hao ambao wote ni raia wa kigeni, Camara akitokea Guinea na Diarra nchini Mali, wamekuwa wakicheza kikosi cha kwanza kwenye klabu zao sambamba na timu za taifa.
Ahoua ataweza kuivunja rekodi ya Kagere? KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua anaongoza orodha ya wafungaji wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 12, huku ligi timuhiyo ikisaliwa na mechi nane kufunga msimu na kuwa na kibarua...
Wazir Jr mambo magumu Iraq MSHAMBULIAJI wa Al Mina'a inayoshiriki Ligi Kuu nchini Iraq, Wazir Jr Shentembo ugumu wa ligi hiyo unampa changamoto ya kuipambania timu hiyo.
Nurdin Bakari ashtukia jambo Bara BEKI wa zamani wa Simba, Yanga na Taifa Stars, Nurdin Bakari amesema amekuwa akiifuatilia kwa ukaribu Ligi Kuu ya msimu huu na kubaini kuna uwezekano mkubwa yale yaliyojitokeza msimu wa 2016-2017...
PRIME Nduda azikumbuka 5 za Simba KIPA wa zamani wa Yanga, Simba na Taifa Stars, Said Mohammed ‘Nduda’ ameikumbushia Dabi ya Kariakoo aliyosimama langoni na kufungwa mabao manne wakati Yanga ikifa 5-0 mbele ya Simba katika...
Coastal yaachiwa msala wa Simba YANGA itaingia Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam kwa kujiamini dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA) kutokana na mambo mawili.akijitoa kwa ajili ya...
Mattydiola: Simulizi ya Dubai na tumaini la maisha UKITAJA orodha ya wanawake wa shoka basi huwezi kulikwepa jina la Kocha Matty Msetti ‘Mattydiola’, Mtanzania anayefundisha soka katika akademi za Dubai (United Arab Emirates) tangu mwaka 2022.
Kimenya, Elfadhili wagoma, Juma arejea Prisons MATOKEO mabaya inayopata Tanzania Prisons, yamewafanya viongozi warudi kwa wachezaji askari Jumanne Elfadhili, Salum Kimenya na Jeremiah Juma waliowaondoa kikosini na kuwapangia majukumu mengine,...