Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

204 results for OMARY MDOSE :

  1. PRIME Watatu Yanga wakoleza mzuka Algeria

    KAMA wewe ni shabiki wa Yanga na ulikuwa na presha juu ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya mchezo wa keshokutwa dhidi ya MC Alger ya Algeria wa Ligi ya Mabingwa Afrika basi tulia.

    Yanga Pict
  2. Boka, Mzize, Aucho wanogesha safari ya Yanga Algeria

    Kikosi cha Yanga SC chenye wachezaji 25, kimeondoka Dar es Salaam mchana wa leo Desemba 3, 2024 kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Mchezo huo wa...

  3. PRIME Pointi sita za kimkakati Simba CAFCC

    SIMBA tayari ina pointi tatu ilizopata juzi kwa kuifunga FC Bravos do Maquis ya Angola nyumbani bao 1-0 kupitia Jean Charles Ahoua dakika ya 27, lakini mashabiki na viongozi wa Simba wameiona...

  4. Yanga, Simba katika mitihani tofauti CAF

    Hatua ya makundi ya michuano hiyo itaanza kuchezwa kesho Jumanne Novemba 26, 2024 na tamati yake inatarajiwa kuwa Januari 19, 2025.

  5. Hizi hapa timu 24 zilizofuzu Afcon na mafanikio yao

    MECHI za kufuzu Afcon 2025 zimehitimishwa jana Novemba 19, 2024, miongoni mwa timu 24 zilizofuzu ni Taifa Stars.

  6. Simba, Yanga SC zinavyokabana koo

    Takwimu zinabainisha kwamba, Simba na Yanga ndiyo timu zilizofanya vizuri zaidi hadi sasa kwenye Ligi Kuu Bara. Hata ukiangalia msimamo wa ligi utakubaliana na hilo kutokana na namna nafasi...

    Koo Pict
  7. Mtaomba po!... Moto wa Simba si mchezo, Yanga, Azam  kwa mbaaali

    VITA ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Bara sambamba na tuzo nyingine binafsi inaonekana kuwa ngumu kutokana na ushindi uliopo hadi sasa.

    Po Pict
  8. PRIME Yanga bila Job, Bacca itakuwaje? Tabora yapiga mkwara

    YANGA kwa mara ya kwanza msimu huu, inashuka uwanjani katika Ligi Kuu Bara bila ya mabeki wawili wa kati, Dickson Job na Ibrahim Bacca, itakapoikabili Tabora United yenye kocha mpya aliyewahi...

  9. Simba vs KMC, vita iko hapa

    Nafasi ya Simba kukaa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara leo ipo mikononi mwao wakati timu hiyo itakapokabiliana na KMC kwenye Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam.

  10. PRIME Hii hapa sababu ya Kapombe na Tshabalala kubaki Simba

    KWA muda mrefu, Simba SC imekuwa ikiimarisha kikosi chake katika vipindi tofauti vya usajili. Maboresho hayo huwa yanagusa maeneo yote ya uwanja kuanzia golikipa, mabeki, viungo na washambuliaji.

    Kapombe Pict
Previous

Page 12 of 21

Next