Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1175 results for Charles Abel :

  1. AKILI ZA KIJIWENI: Kuhusu Amrouche uamuzi makini unahitajika

    JANUARI mwaka jana, Kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche ambaye ni raia wa Algeria alipigwa rungu la kufungiwa kujihusisha na usimamizi wa benchi la ufundi kwa mechi nane, adhabu ambayo ilitolewa...

    Adel Pict
  2. AKILI ZA KIJIWENI - RC Mtanda hana baya kwa Pamba Jiji

    MKUU wa Mkoa (RC) wa Mwanza, Said Mtanda amegeuka kipenzi cha wengi hapa kijiweni kwa vile anafanya kitu ambacho wanakijiwe wamekuwa wakikipendekeza kila siku kwa mabosi wa mikoa.

    Mtanda Pict
  3. AKILI ZA KIJIWENI - Yanga ilipaswa kusimama na Khomeiny

    KILE kilichofanywa na Simba kwa winga wao Ladack Chasambi aliyejifunga kule Babati walipocheza na Fountain Gate ni babu kubwa sana hata hapa kijiweni tulipongeza.

    Khomeiny Pict
  4. PRIME Samatta awachonganisha mashabiki, viongozi PAOK

    Miezi minne kabla ya mkataba wake na PAOK kumalizika, mshambuliaji Mbwana Samatta ameanza kuichonganisha timu hiyo na mashabiki wake.

  5. PRIME Mambo matatu ubabe wa Simba, Yanga KMC Complex

    Msimu uliopita, Simba na Yanga zilitumia Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam kwa mechi zao za nyumbani za Ligi Kuu baada ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kufungiwa.

  6. AKILI ZA KIJIWENI: Tuombe Aziz Ki atuletee staa kama yeye

    TETESI ambazo hapa kijiweni tulikuwa tunaziona haziwezi kuwa kweli hatimaye zimetimia nazo ni ndoa ya Stephane Aziz Ki na Hamisa Mobeto.

  7. Fursa ya kihistoria Serengeti Boys Afcon 2025

    BAADA ya makundi ya Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (Afcon U17) na zile za chini ya umri wa miaka 20 (Afcon U20) 2025 kupangwa juzi, timu ya taifa ya vijana ya...

    Serengeti Pict
  8. AKILI ZA KIJIWENI: Bwenzi sasa ashindwe mwenyewe

    HADI sasa bao bora katika Ligi Kuu msimu huu kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa kijiweni ni lile la Seleman Rashind ‘Bwenzi’ alilopachika dhidi ya Yanga.

  9. AKILI ZA KIJIWENI: Fadlu, Azim wamembeba Chasambi

    ULE mchezo ambao Ladack Chasambi alijifunga bao ambalo lilikuwa la kusawazisha kwa Fountain Gate dhidi ya Simba ungeweza kuwa mwanzo wa maisha magumu kwa winga huyo mwenye umri wa miaka 20.

  10. Everton, Liverpool walivyoifunga Goodison Park kwa rekodi tamu

    Ni usiku uliogubikwa na nyakati za furaha, huzuni, shangwe, vurugu na historia ya aina yake wakati Everton ilipotoka sare ya mabao 2-2 na Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu England (EPL), jana...

Previous

Page 12 of 118

Next