Kaseja hesabu kali dhidi ya Tabora United WAKATI Ligi Kuu imesimama kupisha kalenda ya FIFA kwa mechi za kimataifa ambapo Taifa Stars itashuka uwanjani Machi 26 kucheza na Morocco katika mchezo wa kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za...
Sabilo aitamani tena Ligi Kuu KIUNGO mshambuliaji wa TMA, Sixtus Sabilo amesema licha ya ugumu anaokumbana nao kucheza Ligi ya Championship anaiona nafasi yake ya kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kushuka kiwango kwa muda.
Salum Mayanga atajwa kurithi mikoba ya Bares Mashujaa FC BAADA ya tetesi nyingi juu ya kuajiriwa na Mashujaa kwa aliyekuwa kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga ili kuchukua mikoba ya Mohammed Abdallah ‘Bares’ sasa ni rasmi uongozi wa timu hiyo...
Msindo aishika Azam, Stars Tshabalala ajipange SI kwa bahati mbaya kuitwa kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars. Ni kwa sababu ya uwezo wake wa kukaba na kupandisha mashambulizi na amekuwa mmoja wa nyota wanaoibeba Azam FC msimu huu. Huyu ni...
Muya atuliza presha Geita Gold LICHA ya Geita Gold kupoteza michezo mitatu mfululizo, ila kocha mkuu wa timu hiyo, Mohamed Muya amesema matokeo hayo hayajawatoa mchezoni, ingawa ni changamoto anayokabiliana nayo ya...
Nyoni agoma kushuka daraja NYOTA wa kimataifa wa Tanzania anayeshikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi akiwa na timu ya taifa, Taifa Stars, Erasto Nyoni anayeitumikia Namungo kwa sasa, amekataa kushuka na timu hiyo akisema...
MTASINGWA: Mfalme wa dimba la chini azam, tumaini Stars ADOLF Mtasingwa Bitegeko. Amekuwa mhimili mkubwa kwenye safu ya kiungo Azam FC. Ni mmoja wa nyota wanaotajwa kufanya makubwa kwenye kikosi cha Taifa Stars baada ya kuitwa mara mbili na...
PRIME Mziki wa Maxi wamgusa Hamdi KIUNGO mshambuliaji, Maxi Nzengeli juzi alifunga mabao mawili wakati Yanga ikitinga 16 Bora kwa kuiondosha Coastal Union kwa mabao 3-1 katika mechi ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho, huku kocha...
Mshery kachemsha kwa Coastal Union KIPA Abuutwalib Mshery ameshindwa kuendeleza rekodi aliyokuwa nayo dhidi ya Coastal Union akikaa langoni dakika 270 bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa baada ya Miraji Abdallah kuvunja mwiko huo...
Timu hizi ukilenga tu, imooo! LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea tena kesho kwa mchezo wa kiporo baina ya Simba dhidi ya Dodoma Jiji ikiwa ni funga hesabu kwa mechi za raundi ya 23 kabla ya ligi hiyo kusimama hadi Aprili...