Josiah, Ongala nani atatokelezea? POINTI 18 na nafasi ya 15 iliopo Tanzania Prisons, inamfanya kocha wa timu hiyo Amani Josiah kuwa na hesabu kali dhidi ya KMC kwani ikishinda mchezo wa Jumatano hii itapanda hadi nafasi ya 14...
Kagere autaja msimu wake bora Bara STRAIKA wa Namungo, Mnyarwanda Meddie Kagere (MK 14 the Terminator), amesema tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara msimu wake bora ni ule wa kwanza 2018/19 ambao alimaliza na mabao 23 - akichangia...
Metacha: Camara, Diarra maticha wa viwango KIPA wa Singida Black Stars, Metacha Mnata amesema ufundi wanaouonyesha makipa Moussa Camara (Simba) na Djigui Diarra(Yanga) ni funzo kwa wazawa kuboresha viwango vyao, ili thamani zao kupanda.
Mechi saba Adebayor haoni maajabu MSHAMBULIAJI wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor bado hajajipata huku akieleza haoni kama kuna maajabu yanaweza kutokea katika mechi saba zilizosalia kufunga msimu huu.
Prisons inaanzia KMC BAADA ya kumaliza kambi ya siku 10 katika Kituo cha Magereza Kiwila mkoani Mbeya, Tanzania Prisons imetua jijini Dar es Salaam kukabiliana na KMC.
Azam FC yafuata kipa namba moja wa As Vita KAMA mambo yataenda kama yalivyo, Azam FC ina mpango wa kumtema kipa Mohamed Mustafa raia wa Sudan sababu ikitajwa ni kufanya makosa mengi akiwa golini, hivyo umeanza mchakato wa kumsaka mbadala...
PRIME Ibrahim Twaha 'Messi' Winga aliyegeuza matatizo kuwa fursa, anasubiri simu ya Diamond, Zuchu MAUMIVU na nyakati ngumu alizowahi kuzipitia winga wa zamani wa Simba na Coastal Union, Ibrahim Twaha 'Messi' zilimbadilisha mtazamo wake na sasa amekuwa msaada kwa wachezaji wenzake kuhakikisha...
Mwaikimba atia neno ubora wa wachezaji Ligi Kuu STRAIKA wa zamani wa Yanga na Azam FC, Gaudence Mwaikimba amesema akiitazama Ligi Kuu Bara kwa sasa kilichoongezeka ni uwekezaji, lakini kuhusu ufundi wa wachezaji uwanjani haoni vipaji halisi...
Kocha JKT Tanzania awaondolea mzigo Bocco, Songo KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema anatengeneza timu ambayo haitakuwa mzigo kwa baadhi ya wachezaji, badala yake anahitaji kila anayekuwa uwanjani ajue yupo kwa ajili ya kupambania pointi...
Offen Chikola kurudi kivingine KIUNGO mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola amesema mapumziko ya Ligi Kuu Bara kupisha mechi za Kalenda ya FIFA yamemsaidia kuondoa uchovu mwilini uliotokana na kucheza mechi mfululizo.