Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

339 results for Mwandishi Maalumu :

  1. PRIME PUMZI YA MOTO: Amrouche arudia kosa la Amunike

    MWAKA 2019 Tanzania ilifuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), ikiwa ni mara ya kwanza baada ya takribani miaka 39 na mara ya pili katika historia. Kocha wa Tanzania alikuwa nyota wa zamani wa...

  2. PRIME MTU WA MPIRA: Hata Simba walimwogopa Yusuf Manji

    YANGA imepita katika nyakati nyingi. Imepita katika nyakati ngumu na za neema. Imepita safari ndefu kufika hapo ilipo leo. Nani anamkumbuka Marehemu Abbas Gulamali. Huyu anatajwa kuwa miongoni...

  3. PRIME PUMZI YA MOTO: Mcolombia wa Azam FC aikataa jezi

    FRANKLIN Jesus Navarro, nyota mpya wa Azam FC kutoka Colombia, ameikataa namba ya jezi aliyoandaliwa na klabu hiyo. Navarro ambaye kwao alikuwa akivaa jezi namba 10, aliandaliwa jezi namba 13...

  4. PRIME MTU WA MPIRA: Shomari Kapombe nyakati zinakuja, nyakati zinapita

    KIKOSI cha Taifa Stars kipo Misri kikijiandaa na fainali za Mataifa ya Afrika zinazofanyika Ivory Coast kuanzia wiki ijayo na jioni ya leo itashuka uwanjani kuvaana na Misri katika pambano la...

  5. Wajumbe 19 wa hamasa timu ya Taifa wateuliwa, Mwijaku na Hersi ndani

    Tanzania imefuzu kushiriki Fainali za Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON nchini Ivory Coast, michuano hii inaanza Januari 13- Februari 11, 2024. Pia, Tanzania 'Twiga Stars' imefuzu...

  6. PUMZI YA MOTO: Eric Cantona kipaji cha soka safi na domo chafu

    NYOTA wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, Eric Cantona, amerusha jiwe kwa nchi yake akiliponda soka la nchi hiyo kwamba halina mvuto kwa kukosa mashabiki. Cantona amesema soka la Ufaransa...

  7. Waamuzi ni pasua kichwa, majanga kibao

    “Mwamuzi Emmanuel Mwandembwa (Arusha) amefungiwa miezi (6) kufanya kazi ya uamuzi wa mpira wa miguu kwa kosa la kushindwa kutafsiri vyema sheria 17 za mpira wa miguu jambo lililosababisha...

  8. PRIME MTU WA MPIRA: Samatta anamaliza, Msuva anarudi, tunabaki na nani?

    MBWANA Ally Samatta anaelekea ukingoni mwa maisha yake ya soka baada ya miaka mingi ya kufanya vizuri. Kuna tunachomdai Samatta? Hakuna. Samatta ameweka historia nyingi ambazo itachukua miaka...

  9. ASANTENI WADAU, ILIKUWA SAFARI POA!

    kuuzwa Kanda ya Pwani ambapo nakumbuka kuna wakati idadi ya mauzo ilipanda hadi nakala 14,000 kwa kila toleo, likaenezwa kote nchini ambapo lilipokewa vizuri. Kuna mengi ambayo sitaweza kuyataja...

  10. MAONI: Hata Uwanja wa Kirumba unaweza kuwa kama Amaan

    JUZI Jumatano, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi alizindua Uwanja wa Amaan. Uwanja huo umefanyiwa ukarabati na kuwa bora zaidi kuliko ulivyokuwa awali. Serikali ya...

Previous

Page 11 of 34

Next