Search

258 results for Mwandishi Maalumu :

  1. PUMZI YA MOTO: Stewards husaidia mashabiki wanaovamia mchezo

    Kwenye mchezo wa Simba dhidi ya Mashujaa, Ijumaa ya Machi 15 mwaka huu uwanjani Azam Complex, shabiki mmoja anayedhaniwa kuwa wa Simba alivamia mchezo na kuonekana akifukua vitu kwenye nguzo ya...

  2. Uwanja wa Arusha kupewa jina la Rais Samia

    Uwanja mpya wa michezo utakaojengwa mkoani Arusha, unatarajiwa kupewa jina la Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika kipindi maalumu cha Wasafi Radio, jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu...

  3. Faki: Hizi Simba, Yanga hazikuwa na maajabu

    BEKI mahiri wa zamani wa Coastal Union ya Tanga na Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salim Amir Faki ameiomba Serikali ya Tanzania kuwaangalia kwa jicho la huruma wachezaji waliocheza...

  4. Mazito mamne yanafikirisha Afcon

    hasa za Ulaya humalizika na wachezaji hurudi kwenye mataifa yao ikiwamo mapumziko na majukumu ya timu za taifa kama kuna mashindano. Hivyo, hilo halithiri klabu za Ulaya kwa kuwakosa wachezaji...

  5. Dakika 10 na Lamata, ijue siri uandishi wa filamu zake

    Lamata ambaye amewahi kutamba pia na tamthiliya ya Kapuni, amesema waandishi wengi wamekuwa wakitengeneza miswada inayofanana na yenye matukio yaleyale.

  6. Popat wa Azam FC aula Olimpiki maalum

    MKURUGENZI wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Olimpiki Maalumu nchini (Special Olympics Tanzania, SOT), uteuzi uliofanyika hivi karibuni...

  7. Kampuni ya Mwananchi ni mwendo wa kidijitali zaidi

    Ili kufanya hivyo, mtumiaji wa tovuti hizo atatakiwa kulipia Sh500 kwa siku, Sh3,000 kwa wiki, Sh15,000 kwa mwezi na Sh91,000 kwa mwaka mzima.

  8. Zawadi za tuzo za mwezi Ligi Kuu mh!

    Tuko mwaka 2024 na Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24, inakaribia kuingia mzunguko wa pili. Cha ajabu ni kwamba hadi muda wa kuandika makala hii, wasimamizi wa mashindano yaani bodi ya ligi...

  9. Simba kujua mbivu au mbichi

    ya shughuli na mipango ya Simba, kufanya uchaguzi kwa nafasi zote zilizo wazi, kupokea na kujadili mapendekezo ya marekebisho ya kanuni na katiba ya Simba na kujadili mapendekezo yaliyowasilishwa...

  10. PRIME PUMZI YA MOTO: Amrouche arudia kosa la Amunike

    MWAKA 2019 Tanzania ilifuzu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), ikiwa ni mara ya kwanza baada ya takribani miaka 39 na mara ya pili katika historia. Kocha wa Tanzania alikuwa nyota wa zamani wa...

Previous

Page 2 of 26

Next