Kipute cha Zanzibar Heroes, Kili Stars kazi anayo Amrouche
UNGUJA. UWANJA wa Amaan, mjini Unguja uliokarabatiwa na kuwa na mwonekano wa kisasa, unatarajiwa kuzinduliwa leo ukisindikizwa na burudani mbalimbali ikiwamo ya muziki mapema, lakini kuanzia saa...