Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

481 results for Ibrahim Mussa :

  1. MBELWA: Kazichapa mara 100, lakini anaishi kama hana rekodi

    MPAKA anaachana na mchezo wa ngumi za kulipwa nchini mwaka 2013, bondia Rashidi Matumla 'Snake Boy' aliishia kucheza mapambano 72 pekee katika mchezo huo huku akibeba mikanda mbalimbali.

    MBELWA Pict
  2. Hassan Waziri afichua kilichomplekea ulingoni

    Tanga ni miongoni mwa mikoa ambayo imefanikiwa kuzalisha vipaji vya mchezo wa ngumi.

  3. Buriani Uncle Lundenga, tangulia kamanda!

    Mratibu huyo wa zamani wa shindano la urembo la Miss Tanzania, aliyekumbwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mrefu atakumbukwa kwa mengi katika tasnia ya urembo, muziki pamoja na michezo.

    LUNDENGA Pict
  4. Sungu Mtata 'ndondo' za ngumi mtaani zinavyomtoa

    KUTOKA Kibiti hadi Ikwiriri Mkoa wa Pwani, ndiyo mitaa ambayo bondia chipukizi wa ngumi za kulipwa kwenye uzani wa Super Walter, Ramadhan Mkwakwate maarufu zaidi kama Sungu Mtata ndiko anakotokea.

  5. MIGWEDE: Vipigo, kufukuzwa chanzo cha ubondia

    CHANIKA jijini Dar es Salaam ni moja ya maeneo yenye watu wengi waliokuwa wakiishi katikati ya jiji hilo wakiwamo wanamichezo mbalimbali.

  6. Si mchezo… Simba ya kibabe walipo kwa sasa

    HUKO mtaani kuna ka-ligi flani ka ubishi kanakoendelea miongoni mwa mashabiki na wapenzi wa soka hasa wale Simba. Ubishani huo unahusu kikosi bora cha muda wote cha Simba tangu klabu hiyo...

    SIMBA Pict
  7. Yanga yaipiga Tabora United, Dube, Mzize wamkaribia Ahoua

    KISASI ni haki! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United, katika mchezo uliopigwa leo kwenye Uwanja wa...

  8. ZUGO: Bondia aliyetakiwa na Mayweather Sauzi, ngoma ikabuma

    UKIWATAJA mabondia wa Tanzania waliofikia rekodi ya hadhi ya nyota nne, basi jina la mtoto wa Zena Kipingu, mke wa Kanali mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Idd Kipingu ambaye ni...

  9. Huyu ndiye 'MK14' anayezeeka na utamu wake

    UNAPOTAJA nyota wa kigeni waliofanya vizuri na kujiwekea rekodi za kipekee, hutoacha kumtaja mshambuliaji wa zamani wa timu za Simba, Singida Big Stars na sasa Namungo FC, Meddie Kagere ‘MK14’...

    MEDDIE Pict
  10. Abdul Zugo Asimulia pambano lake Ubelgiji lilivyoyeyuka

    ABDUL Kessy Kasongo maarufu zaidi kwa jina la Abdul Zugo ni mtoto wa Dar es Salaam lakini heshima yake katika mchezo wa ngumi ameenda kuipata Tabora kutokana na mchango wake na namna anavyoupa...

    ZUGO Pict
Previous

Page 2 of 49

Next