Search

1326 results for Charity James :

  1. PRIME Simba yatoa masharti mazito kwa Kibu, Mwamyeto

    LAZIMA yafanyike maamuzi magumu. Simba wamemwambia wakala wa mastaa wawili Bakari Nondo Mwamnyeto na Kibu Denis achague moja au akose yote.

  2. PRIME Maswali matano mwisho wa Inonga Simba

    MKATABA wa beki wa Simba, Henock Inonga unamalizika mwisho wa msimu huu. Tayari ameshaitumikia Simba misimu miwili na kuonyesha kiwango bora ingawa kimekuwa kikilalamikiwa na mashabiki wa siku za...

  3. Mastaa Azam wawekewa milioni 300 waigomee Simba 

    AZAM FC hawatanii buana! hivyo ndio unaweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuamua kutoa motisha kwa mastaa wao kupambana kumaliza nafasi ya pili kwa ahadi ya kuwapa zawadi ya fedha Sh300...

  4. Musonda kumpisha Dube Yanga

    WAKATI Yanga ikiwa kwenye mchakato wa kusaka mbadala wa Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kuachwa mwisho wa msimu huu, imebainika kuwa mshambuliaji Keneddy Musonda pia anampisha mtu. Musonda...

  5. Azam FC ni kitu baada ya kitu

    WAKATI vita kati ya Azam FC na Simba ikiendelea kusaka nafasi ya pili katika Ligi Kuu Bara, matajiri wa Dar es Salaam wanaendelea na kusuka kikosi chao baada ya kushusha beki na kiungo, huku...

  6. Aziz Ki kamuacha mbali Fei Toto

    Achana na vita ya ufungaji bora iliyopo baina ya Feisal Salum 'Fei Toto' wa Azam FC na Stephane Aziz Ki wa Yanga, lakini kiungo huyo wa Yanga amejijengea ufalme wake kwenye tuzo za mchezaji bora...

  7. Cheki ramani nzima ya ubingwa Yanga ilivyo

    MNAHESABU lakini? Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Yanga juzi kupata ushindi wa 21 katika michezo 25 iliyochezwa katikaa Ligi Kuu Bara.

  8. Yanga, Mashujaa vita ipo hapa

    Yanga inashuka katika mchezo wa leo kusaka pointi tatu ili kuendelea kuusogelea ubigwa wa Ligi Kuu Bara wakati Mashujaa wao wanatafuta ushindi wa kujikwamua kurudi walipotoka.

  9. JKT Tanzania yaua, kubaki Ligi Kuu bado mtihani

    Mabao kwenye mchezo huo yalifungwa na Najim Mangulu katika dakika 45 ya kipindi cha kwanza na Ayub Lyanga ambaye amefunga pao la pili na la nne kwake msimu huu.

  10. Chama atachezaje na Pacome, Aziz Ki Yanga

    "Chama hata uwe na Maxi Nzengeli, Aziz Ki, Pacome bado ukiwa na yeye pia unaweza kumtumia kulingana na mfumo unaotaka kutumia viungo watano, watatu, wanne, nafasi yake ndani ya kikosi cha Yanga...

Previous

Page 2 of 133

Next