KMKM mabingwa wapya Kombe la FA Zanzibar TIMU ya KMKM imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichakaza Chipukizi mabao 4-2 katika mchezo wa fainali uliochezwa leo Juni 21, 2025 kwenye Uwanja wa Mao Zedong uliopo Mjini...
Tasso: Nitaingiza timu mbili Zanzibar KOCHA mkongwe wa kikapu, Suleiman Tasso amesema anatarajia kuingiza timu mbili katika mashindano ya Ligi ya Kikapu Zanzibar, mwaka huu.
HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 5 Alipoingia katikati ya kundi hilo akaliona gari la Idara ya upelelezi alilokuwa akiendesha Temba, tairi zake za mbele zimeingia katika mfereji. Msembeko alichungulia ndani ya gari hilo na...
HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 30 Tukaenda na Mustafa hospitali ya Muhimbili. Musa alikuwa amelala kichalichali. Alionyesha alikuwa taabani. Mguu mmoja ulikuwa umening’inizwa. Mguu mwingine ulikuwa umefungwa bendeji ngumu.
HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 29 Pale pale tulipokaa nikaanza kumpa Sele maneno matamu ya chumbani kisha nikamshika mkono kuminua, nikaingia naye chumbani. Wewe utajua kilichonifanya nimpeleke huko chumbani.
HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 4 “Kuna tatizo kidogo. Kuna mfungwa mmoja aliyehukumiwa kifungo cha miaka thelathini mwezi Novemba mwaka jana, anaitwa Christian Bambo.” “Ndiyo Bambo, tuko naye.”
HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 28 Baada ya kuolewa na Sele saa tano usiku nilihesabu ndoa ya tatu. Nikajiambia nisingeweza kuishi na waume watatu kwa muda mrefu. Kitu cha msingi ni kutafuta sababu ili niachwe na waume wengine.
HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 3 Temba akawa anaitazama picha ya mtu mwenye uso wa miraba minne, macho makubwa na pua iliyofura. Alikuwa na alama ya kushonwa ngozi kwenye paji la uso wake.Christian Bambo.” Temba alitamka baada...
HADITHI HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki - 2 AZIZ anajikuta anaingia katika mkasa mwingine wa kupambana na magaidi waliomteka nyara binti wa bilionea mmoja wa Uingereza na kushinikiza walipwe mabilioni. Walitoa siku saba tu za kulipwa pesa...
HADITHI HADITHI: Bomu Mkononi - 27 Nilipomaliza, nilitoka nikaenda kufungua friza na kuitazama hiyo nyama iliyoletwa. Nikamuita mtumishi wetu. “Njoo na kisu na sufuria,” nikamwambia. Mtumishi huyo alipofika nilichukua kisu...