PRIME Ni aibu! Madudu ya waamuzi yachefua wengi Ligi Kuu WAKATI Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka nchini, ikisema imeanza uchunguzi kwa waamuzi waliochezesha mechi ya Simba na Mashujaa, iliyogeuka gumzo, wadau mbalimbali wa soka wakiwamo...
PRIME SIO ZENGWE: TFF, Bodi ya Ligi zijisafishe na tuhuma za marefa KWA bahati mbaya sana mechi nyingine ya Ligi Kuu Bara imemalizika kwa kurejesha mijadala mingine kuhusu kiwango cha marefa na tuhuma za upendeleo.
PRIME Chamou atibua hesabu Simba KAMA utani hivi, beki wa kati Simba, Chamou Karaboue amebadili uamuzi wa mabosi wa klabu hiyo kutokana na kiwango chake, huku kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids akisema amefanikiwa kuwapa...