PRIME Usiku wa deni haukawii kukucha, weka kati tupimane ubavu! KAMA kuna kitu ambacho mashabiki na wapenzi wa Yanga wanaomba kwa leo ni kuona timu hiyo inazinduka na kupata ushindi ikiwa ugenini dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo.
PRIME Yanga yaitingisha Mazembe, mabeki wawili wakitajwa MSAFARA wa kikosi cha Yanga wenye wachezaji 25 kimeondoka mchana wa leo kwenda Lubumbshi, DR Congo, tayari kwa ajili ya mechi ya tatu ya Kundi A ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi TP Mazembe, huku...
Wasanii kupima afya bure Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), iliyoko Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, imetangaza huduma ya kupima moyo bure kwa wasanii wa filamu nchini.