Video SIMBA YAANDAA GARI KUPELEKA MASHABIKI LUBUMBASHI Jumanne, Aprili 02, 2019 — updated on Mei 24, 2021
PRIME Ecua amtikisa Sowah Yanga SIKU moja baada ya Mwanaspoti kuripoti kuwa huenda straika Celestin Ecua akatua na kocha mpya wa timu hiyo anayekuja kuchukua mikoba ya Miloud Hamdi, mambo yanadaiwa kuonekana kwenda vizuri huku...
PRIME Kocha mpya Yanga kutua na straika MEZANI kwa mabosi wa Yanga kwa sasa kuna majina mawili ya makocha wanaopigiwa hesabu, mmoja aje kuinoa timu hiyo kuziba nafasi ya Miloudi Hamdi aliyetua Ismailia ya Misri, lakini kuna jambo...
Samatta apata pigo zito, afiwa na baba mzazi NI huzuni kubwa katika familia ya mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Mbwana Samatta 'Samagol' kufuatia taarifa za kifo cha baba mzazi, Ally Pazi Samatta.