Video SHUHUDIA MASIMANGO YA YANGA MSIMBAZI, ALLY KAMWE AWAONYESHA JAGI LA MAJI Jumapili, Julai 06, 2025
PRIME Simba yavamia dili la Ecua Yanga HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wakianza kuchekelea chinichini baada ya kuwahabarisha juu ya dili la straika wa ASEC Mimosas na MVP wa Ligi Kuu ya Ivory Coast...
PRIME Kufuru, huu hapa mshahara wa Ibenge Azam MAMBO ni bambam kwa Wanalambalamba Azam FC baada ya kumalizana na aliyekuwa kocha mkuu wa Al Hilal Omdruman ya Sudan, Florent Ibenge, inayokipiga katika Ligi Kuu Mauritania kwa sasa, kwani...
PRIME Walibya wampandia dau Aziz KI LILE dili la kiungo mshambuliaji Stephane Aziz KI pale Wydad Athletic limeingia mdudu baada ya kocha wa timu hiyo kutaka akatwe na akikatwa anarejea Yanga, lakini kuna jipya limeibuka juu ya...